Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Uchaguzi ujao wa 2020, Magufuli ni ushindi wa 99.9%.Licha ya mapungufu yake machache na hii ni iko kwa wanadamu wote waliotoka kwenye Tumbo la mwanamke,
Hakuna aliye kamilifu kwa asilimia 100,Mapungufu yake machache hayawezi kufanya nisione Mema anayofanya,
Mwaka 2020 Naenda na JPM, Jiwe shupavu, Chuma asiyeweza kuyumbishwa,Kwa mafanikio ya Nchi yangu, na kwa Future ya kizazi changu Nitaenda na JPM 2020,
Go JPM mimi kama mtanzania na mwananchi unayeniongoza niko Pamoja nawe.
Nani yuko pamoja nami anasema ataenda na JPM 2020? .
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au ni Magufuli tu?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kwa uchaguzi wa 2020, kwa mujibu wa utaratibu wao CCM, tayari tunaye mgombea wa urais ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Swali la kujiuliza kwa huu upinzani uliopo Tanzania kwa sasa, jee kwa uchaguzi wa 2020 mgombea wa CCM, Dr. John Pombe Joseph Magufuli ana...
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...