Uchaguzi 2020 Mwaka 2020 Naenda na Rais Magufuli nani yuko pamoja nami

Licha ya mapungufu yake machache na hii ni iko kwa wanadamu wote waliotoka kwenye Tumbo la mwanamke,
Hakuna aliye kamilifu kwa asilimia 100,Mapungufu yake machache hayawezi kufanya nisione Mema anayofanya,
Mwaka 2020 Naenda na JPM, Jiwe shupavu, Chuma asiyeweza kuyumbishwa,Kwa mafanikio ya Nchi yangu, na kwa Future ya kizazi changu Nitaenda na JPM 2020,
Go JPM mimi kama mtanzania na mwananchi unayeniongoza niko Pamoja nawe.
Nani yuko pamoja nami anasema ataenda na JPM 2020? .
unaenda nae wap?
 
UNAENDA NAYE CHATOO?[emoji23][emoji23][emoji23].

SAFI SANA HE IS ONE TERM PRESDENT.[emoji23][emoji2][emoji2][emoji16].

hutaki unaacha [emoji38][emoji38]
Eti chato[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Sijawahi ona Rais anakaa miaka 5 tu..hapa hapa kwetu tz.
Huyu Ni Hadi 2025
 
Kunywa tu simu ufe leo
Sitaweza, sitathubutu, sitajaribu hata siku moja kumpigia kura mgombea yeyote kupitia CCM katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa Duniani.

SAUTI IMETOSHA!
 
Nani yuko pamoja nami anasema ataenda na JPM 2020? .
[/QUOTE]- SHETANI
 
Eti chato[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Sijawahi ona Rais anakaa miaka 5 tu..hapa hapa kwetu tz.
Huyu Ni Hadi 2025
WATU WANAENDA KUMWAGA MBOGA 2020 HIVYO ! ENDELEA KUWAZA HIVYO😃😃😆😆😁😁😂😂
 
Licha ya mapungufu yake machache na hii ni iko kwa wanadamu wote waliotoka kwenye Tumbo la mwanamke,

Hakuna aliye kamilifu kwa asilimia 100,Mapungufu yake machache hayawezi kufanya nisione Mema anayofanya,

Mwaka 2020 Naenda na JPM, Jiwe shupavu, Chuma asiyeweza kuyumbishwa,Kwa mafanikio ya Nchi yangu, na kwa Future ya kizazi changu Nitaenda na JPM 2020,

Go JPM mimi kama mtanzania na mwananchi unayeniongoza niko Pamoja nawe.

Nani yuko pamoja nami anasema ataenda na JPM 2020? .
Unaenda na Mumeo
 
Back
Top Bottom