Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Wewe ndio unapata shidaSawaaa 2020 Pamoja na JPM, Usifosi tufananeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio unapata shidaSawaaa 2020 Pamoja na JPM, Usifosi tufananeeeee
Kwanini unahukumu wasiompenda ?!. Nao wana machaguo yaoKama hauko na JPM basi upo upande wa Ibilisi, team roho mbaya
Jibu maswali niliyokuuliza kwanza achana na hizo namba unazosemea? Usikwepe.Namba haziongopi na siku zote namba husema ukweli kama unajua namna ya kuzisoma na kuzitafakari kwa kina.
Hivi viwanda 4,000 tangu huyo dhalimu aingie madarakani anavyodai amevijenga amejenga mikoa ipi!? Hebu tuwekee mchakato wa kila mkoa nchini uliobahatika kujengewa kiwanda/viwanda
Ujinga ni MZIGO MKUBWA SANA.
Licha ya mapungufu yake machache na hii ni iko kwa wanadamu wote waliotoka kwenye Tumbo la mwanamke,
Hakuna aliye kamilifu kwa asilimia 100,Mapungufu yake machache hayawezi kufanya nisione Mema anayofanya,
Mwaka 2020 Naenda na JPM, Jiwe shupavu, Chuma asiyeweza kuyumbishwa,Kwa mafanikio ya Nchi yangu, na kwa Future ya kizazi changu Nitaenda na JPM 2020,
Go JPM mimi kama mtanzania na mwananchi unayeniongoza niko Pamoja nawe.
Nani yuko pamoja nami anasema ataenda na JPM 2020? .

MIMI WA KWANZA TUNAENDA PAMOJA NA JPM atupeleke kwenye nchi ya maziwa na asali
Tupo pamoja.
KoromitdjeMnaenda wapi?
Nakuunga mkono kwa Dr JPM
Mayalla hii ingekuwa sawa endapo mazingira ya kuchaguana yangelikuwa sawa. Sasa mazingira ya uchaguzi kama wa kinondoni, Handeni, Iramba mashariki etc. Huko tuliona returning officers wakiwakimbia wagombea wa upinzani wasiwasilishe makaratasi. Na hata walipowasilisha eti wote 10 hawajui kuandika ?!.Hakuna kitu kizuri kama ukweli halisi bila kujalisha ni mchungu kiasi gani.
P
Wewe mnyonge?Tuko pamoja, tunamuelewa Rais wetu, Rais wa wanyonge.
Kanyaga twende... tuko pamoja sana. Tutampigia kampeni na tutampeleka tena Ikulu. Sioni mwingine...Licha ya mapungufu yake machache na hii ni iko kwa wanadamu wote waliotoka kwenye Tumbo la mwanamke,
Hakuna aliye kamilifu kwa asilimia 100,Mapungufu yake machache hayawezi kufanya nisione Mema anayofanya,
Mwaka 2020 Naenda na JPM, Jiwe shupavu, Chuma asiyeweza kuyumbishwa,Kwa mafanikio ya Nchi yangu, na kwa Future ya kizazi changu Nitaenda na JPM 2020,
Go JPM mimi kama mtanzania na mwananchi unayeniongoza niko Pamoja nawe.
Nani yuko pamoja nami anasema ataenda na JPM 2020? .
Kanyaga twende... tuko pamoja sana. Tutampigia kampeni na tutampeleka tena Ikulu. Sioni mwingine...Licha ya mapungufu yake machache na hii ni iko kwa wanadamu wote waliotoka kwenye Tumbo la mwanamke,
Hakuna aliye kamilifu kwa asilimia 100,Mapungufu yake machache hayawezi kufanya nisione Mema anayofanya,
Mwaka 2020 Naenda na JPM, Jiwe shupavu, Chuma asiyeweza kuyumbishwa,Kwa mafanikio ya Nchi yangu, na kwa Future ya kizazi changu Nitaenda na JPM 2020,
Go JPM mimi kama mtanzania na mwananchi unayeniongoza niko Pamoja nawe.
Nani yuko pamoja nami anasema ataenda na JPM 2020? .
Katusogezea tu mbuga, lkn shiling yetu hairuhusu kutawanya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanalia Nini Sasa.?
Mna Hadi mbuga za wanyama[emoji2960]
UTAKUWA NA SHETANI KAMA KAWAIDA,NA MUENDE KUZIMU KABISA.Licha ya mapungufu yake machache na hii ni iko kwa wanadamu wote waliotoka kwenye Tumbo la mwanamke,
Hakuna aliye kamilifu kwa asilimia 100,Mapungufu yake machache hayawezi kufanya nisione Mema anayofanya,
Mwaka 2020 Naenda na JPM, Jiwe shupavu, Chuma asiyeweza kuyumbishwa,Kwa mafanikio ya Nchi yangu, na kwa Future ya kizazi changu Nitaenda na JPM 2020,
Go JPM mimi kama mtanzania na mwananchi unayeniongoza niko Pamoja nawe.
Nani yuko pamoja nami anasema ataenda na JPM 2020? .
MMAWIA UMETISHA NA MAWE YA GIZANI "kwanza karibu sana JF.."😂😂😂😂😁😁😁Kwanza karibu sana jf
Hakuna kitu kizuri kama ukweli halisi bila kujalisha ni mchungu kiasi gani.
P