Uchaguzi 2020 Mwaka 2020 Naenda na Rais Magufuli nani yuko pamoja nami

Tangu lini mie nimejibu maswali ya kipuuzi humu!? 😳😳😳😳
Eti niachane na namba ninazosema! Usikimbie namba hizo si uzushi ni kweli tupu! Umesikia kuhusu 1.5 trillion aliyokwapua huyo kubwa la majizi wa chato? Hiyo ni report ya CAG. Umesikia gharama za matibabu za kikaragosi cha dhalimu ndugai $12 millions au sawa na 28 billions Tanzania shillings?

Tia akili kichwani achana na kuandika upuuzi humu.

Jibu maswali niliyokuuliza kwanza achana na hizo namba unazosemea? Usikwepe.
 
serikali yahaha kumsaka KIGOGO

Hayo ni mawazo yako, Kigogo kwa taarifa yako anajulikana na serikali, na wala haina mpango wa kumfuatilia mtu mwenye njaa kama yeye ambaye anatafuta ugali tu wa kula kwa udi na uvumba.

Serikali hii imejikita zaidi katika kuleta maendeleo kwa Watanzania wote bila kujali itikadi zao. CCM awamu ya 5 imejikita zaidi kuwasaidia Watanzania hasa wale wanyonge ambao hawana uwezo wa kuandika kwenye mitandao, Watoto wadogo na kinamama kutatua matatizo yao na kuwaletea maendeleo. Ikifika 2020 Serikali hii itakuwa inawaonyesha Watanzania maendeleo yaliyofanyika tangu iingie madarakani. Unaruhusiwa kubeza vyovyote vile unavyopenda lakini ukweli utabaki kuwa ukweli whether you like it or not.
 
team "kazi na bata" itanihusu. Historia inatufundisha wana israel walitembea miaka 40 kufuata nchi ya maziwa na asali na hawakuipata mpka walipotumia nguvu kumtoa mpalestina miaka mingi baadae. Bora tule bata kwa mrujanna account zimetuna bank kwa kufanya kazi.
 
Toa Ushahidi kama huna basi hiyo ni Chai tu (propaganda)
 
Tafuta ripoti ya CAG ya fiscal year 2018/2019 hata humu imo isome kwa kina utaelewa tu sina tabia ya kuandika uzushi humu.
Report tu pekee hakuna kingine? Unatakiwa uje na ushahidi hapa ni wapi hizo hela unazosemea zimepelekwa, Kama ni bank kwenye Acount namba gani? Jina la bank usika na ni Nchi gani kama ni Tanzania au nje.


Siyo tu unakuja na maneno bila kutoa ushahidi wa wapi hizo hela zimewekwa.
 
Brother 2020 unaenda na nani?
 
..wakati wa kampeni ukifika Magufuli atatetea rekodi yake na kueleza mipango yake kwa kipindi cha 2020 - 2025.

..mgombea wa upinzani naye atakuwa na nafasi ya kuchambua hali ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa, na ataeleza nini atawafanyia waTz iwapo watamchagua.

..waTz tutatakiwa kuwapima wagombea ili kujiridhisha ni mgombea yupi atatatua changamoto za muda mfupi, wa kati, na muda mrefu, zinazomkabili mpiga kura mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

..Ninachoomba ni kuwe na UWANJA ULIO HURU, WA HAKI, NA USAWA, wa kufanya kampeni na kunadi sera.
 
Kiberenge cha kazi gani sasa!
 
Uwe unafuatilia kwa karibu yanayojiri nchini badala ya kuja humu na kuonyesha ujuha wako hadharani.

Kwa taarifa yako Chadema ilitaka iundwe Tume huru kuchunguza kuhusu 1.5 trillion alizokwapua kubwa la majizi wa chato. Na Watanzania wengi walitaka iundwe tume huru kufuatilia KULIKONI. Huyo kubwa la majizi kwa kujua ATAUMBUKA kuhusu wizi wake AKAKATAA kuundwa tume huru.

Kama hakuiba kwanini ALIHOFIA uchunguzi huru!? 😳

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…