Uchaguzi 2020 Mwaka 2020 Tanzania inaweza kumwaga damu kwa hulka ya watawala

Hiyo 80% ndio iliridhia kupewa viongozi bila kuwachagua kwa njia ya kura? Ngoja tu tutaelewana lugha.
Wewe unapiga propaganda hapa JF lakini huwezi hata mara moja kuingia mitaani.
 
Kwakuwa WATAWALA wetu wanapenda kutumia ubabe wa kidola na wanafanya hila nyingi kukaa madarakani na vyombo vya dola haviangalii haki na Sheria na bunge limewekwa mfukoni huku mahakama ikiwa Haina meno basi uchaguzi wa 2020 unaweza ukawa wa kumwaga damu hapa Tanzania.

Ni ukweli ulio wazi CCM haitakiwi kabisa Tanzania ndio maana wanawarubuni watanzania kila siku kwamba magu ni Mungu mtu ila wajiangalie mwaka huu watu hawatakubali ukikaa ukiwasikiliza vijana mitaani hakika wako tayari kabisa kuianzisha fujo Kama utawala huu utachezea haki yao.
Msiwaone wako kimya.

Hivi huwa mnatumia akili kuwaza kweli?
Yaani wewe ukiichukia ccm basi haitakiwi na watanzania.Jinga sana
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Mpaka huwa nawaonea huruma ,tangu 1995 mpaka Leo lugha ni ile ile ccm haitakiwi ccm haitakiwi,ila inaendela kuongoza,sasa sijui hiyo ccm unayosema wewe ni ipi.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Nyie watu wenye asili ya ukimbizi mnapenda kumwaga damu,hapa Tanzania sio rahisi nendeni huko huko,
 
Miaka 4 tupo kwenye kampeni. Watz wanaonjeshwa pipi kwa gharama ya ujinga. Watakapojua wametumika kunufaisha miradi ya wengine na wao bado maskini itakuwa tumeshachelewa.
Sasa waendelee kufurahia kupanga vitu barabarani, vitakapokosa wananunuzi ndo watajua ile nafasi sio suluhisho la uchumi wao.
Tuendelee. Mi najichanga nikae na passport na nauli standby. Kikinuka huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Porojo za babu jinga,ccm will lead the country for more than 50 years.
 
Wewe unapiga propaganda hapa JF lakini huwezi hata mara moja kuingia mitaani.

Kuingia mtaani ndio utaratibu tuliojiwekea wa kupata viongozi? Kwahiyo mnanajisi chaguzi kwasababu watu hawawezi kuingia mtaani? Halafu watu wakiingia mtaani nyie ndio wa kwanza kusema amani ya nchi inaharibika kwa ajili ya uchu wa madaraka, na eti kama kuna mapungufu kwanini tusikae mezani tuzungumze?
 
Ila sijamaanisha vita bali moto.. Moto unaweza kuwa chochote chema au kibaya lakini kikatendwa kwa nguvu sana
hakuna vita hatujafikia hatua kusema ngoja nife ili mwanangu na mjukuu wangu waishi maisha wanayostahili kuishi

Jr[emoji769]
 
Tuliwahi kuomba vibaya tulipokuwa na Rais mpole Mr Smart, watu wakawa wanaenda makanisani na misikitini wanaomba kupata Rais mkali, akaja.Ombi hili lilikuwa baya, sasa naona mnaomba ombi baya zaidi LA vita, ole wenu.

Ombeni huyu aliyepo Roho ya Bwana imuoneshe kwamba watu wameumia ili atubu.Msiombe vita, mtajuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa WATAWALA wetu wanapenda kutumia ubabe wa kidola na wanafanya hila nyingi kukaa madarakani na vyombo vya dola haviangalii haki na Sheria na bunge limewekwa mfukoni huku mahakama ikiwa Haina meno basi uchaguzi wa 2020 unaweza ukawa wa kumwaga damu hapa Tanzania.

Ni ukweli ulio wazi CCM haitakiwi kabisa Tanzania ndio maana wanawarubuni watanzania kila siku kwamba magu ni Mungu mtu ila wajiangalie mwaka huu watu hawatakubali ukikaa ukiwasikiliza vijana mitaani hakika wako tayari kabisa kuianzisha fujo Kama utawala huu utachezea haki yao.
Msiwaone wako kimya.
Uanze kumwaga ya kwako
 
Kwenye mtandao inawezekana kabisa!
 
We superbug kama unapenda vitu nenda Congo uwe soldier of fortune
 
Back
Top Bottom