Wewe unapiga propaganda hapa JF lakini huwezi hata mara moja kuingia mitaani.Hiyo 80% ndio iliridhia kupewa viongozi bila kuwachagua kwa njia ya kura? Ngoja tu tutaelewana lugha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unapiga propaganda hapa JF lakini huwezi hata mara moja kuingia mitaani.Hiyo 80% ndio iliridhia kupewa viongozi bila kuwachagua kwa njia ya kura? Ngoja tu tutaelewana lugha.
Kwakuwa WATAWALA wetu wanapenda kutumia ubabe wa kidola na wanafanya hila nyingi kukaa madarakani na vyombo vya dola haviangalii haki na Sheria na bunge limewekwa mfukoni huku mahakama ikiwa Haina meno basi uchaguzi wa 2020 unaweza ukawa wa kumwaga damu hapa Tanzania.
Ni ukweli ulio wazi CCM haitakiwi kabisa Tanzania ndio maana wanawarubuni watanzania kila siku kwamba magu ni Mungu mtu ila wajiangalie mwaka huu watu hawatakubali ukikaa ukiwasikiliza vijana mitaani hakika wako tayari kabisa kuianzisha fujo Kama utawala huu utachezea haki yao.
Msiwaone wako kimya.
Usirudie kutuletea unabii wa kipumbavu namna hii
Miaka 4 tupo kwenye kampeni. Watz wanaonjeshwa pipi kwa gharama ya ujinga. Watakapojua wametumika kunufaisha miradi ya wengine na wao bado maskini itakuwa tumeshachelewa.
Sasa waendelee kufurahia kupanga vitu barabarani, vitakapokosa wananunuzi ndo watajua ile nafasi sio suluhisho la uchumi wao.
Tuendelee. Mi najichanga nikae na passport na nauli standby. Kikinuka huyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unapiga propaganda hapa JF lakini huwezi hata mara moja kuingia mitaani.
hakuna vita hatujafikia hatua kusema ngoja nife ili mwanangu na mjukuu wangu waishi maisha wanayostahili kuishi
Uanze kumwaga ya kwakoKwakuwa WATAWALA wetu wanapenda kutumia ubabe wa kidola na wanafanya hila nyingi kukaa madarakani na vyombo vya dola haviangalii haki na Sheria na bunge limewekwa mfukoni huku mahakama ikiwa Haina meno basi uchaguzi wa 2020 unaweza ukawa wa kumwaga damu hapa Tanzania.
Ni ukweli ulio wazi CCM haitakiwi kabisa Tanzania ndio maana wanawarubuni watanzania kila siku kwamba magu ni Mungu mtu ila wajiangalie mwaka huu watu hawatakubali ukikaa ukiwasikiliza vijana mitaani hakika wako tayari kabisa kuianzisha fujo Kama utawala huu utachezea haki yao.
Msiwaone wako kimya.
Fanyeni mlichofanya USM utaelewa
Porojo za babu jinga,ccm will lead the country for more than 50 years.
Kwenye mtandao inawezekana kabisa!Kwakuwa WATAWALA wetu wanapenda kutumia ubabe wa kidola na wanafanya hila nyingi kukaa madarakani na vyombo vya dola haviangalii haki na Sheria na bunge limewekwa mfukoni huku mahakama ikiwa Haina meno basi uchaguzi wa 2020 unaweza ukawa wa kumwaga damu hapa Tanzania.