Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
Lita petrol ni bei gani huko?Zambia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lita petrol ni bei gani huko?Zambia
Lita petrol ni bei gani huko?
Nimecheck list uliyoweka.Zambia
Since jiwe amefariki,graph ya TZ Kwa hela za kigeni ni mbovu sana na nchi ikakopa vya kutosha iliashangingi yaongezeke hapa ndio price fluctuation ilipoanzia tunaingiza bizaa nyingi plus mikopo kuliko tunavyozalisha hapa ndio inaua uwezo waTShs,hujiulizi kwanini wamezuia dollar?,hii ingewatia aibu kwakua uchumi upo hovyoView attachment 3119922
Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini kwa kipindi cha Miaka 10 (2014-2024 zinaonesha miaka ya 2015, 2016, 2017 na 2020 pekee ndio ilishuhudia Bei za chini za Mafuta nchini Tanzania kulinganisha na miaka mingine
Kwa mujibu wa takimu za EWURA, kwa kipindi cha miaka mitatu (2022, 2023, 2024) bei ya mafuta imebaki kuwa juu kuliko kipindi kingine ikitoka katika Wastani wa Tsh. 2,969 kwa lita hadi Tsh. 3,140 kwa Petroli
Aidha, Septemba 2020, Tsh. 10,000 ilikuwa na uwezo wa kununua Lita 5.3 za Petroli kwa Dar, wakati hadi Septemba 2024, kiasi hicho kinanunua Lita 3.1 za Petroli, Lita 3.3 za Dizeli na Lita 3.2 za Mafuta ya Taa.
Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini Tanzania kwa Miaka 10
Mwaka | Petroli | Dizeli | Mafuta ya Taa
2014 - Tsh. 2,267 - Tsh. 2,091 - Tsh. 2,040
2015 - 2,153 - 1,832 - 1,770
2016 - 1,840 - 1,747 - 1,673
2017 - 1,989 1,887 1,811
2018 - 2,373 2,273 2,247
2019 - 2,236 2,168 2,132
2020 - 1,852 1,793 1,692
2021 - 2,427 2,251 2,176
2022 - 2,969 3,125 3,335
2023 - 3,213 3,259 2,943
2024 - 3,140 3,011 3,121
SOURCE: EWURA
Tumia simu hiyo kutafuta taarifa sio kuangalia PORN tuNchi zisizo na bahari kama zipi? Bei iko chini?
Wewe angalia,utuambie mimi nimeshaangalia. Ameweka table halafu katoka nduki. Hajasema bei ni sh ngapi Lita.Tumia simu hiyo kutafuta taarifa sio kuangalia PORN tu
View attachment 3119922
Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini kwa kipindi cha Miaka 10 (2014-2024 zinaonesha miaka ya 2015, 2016, 2017 na 2020 pekee ndio ilishuhudia Bei za chini za Mafuta nchini Tanzania kulinganisha na miaka mingine
Kwa mujibu wa takimu za EWURA, kwa kipindi cha miaka mitatu (2022, 2023, 2024) bei ya mafuta imebaki kuwa juu kuliko kipindi kingine ikitoka katika Wastani wa Tsh. 2,969 kwa lita hadi Tsh. 3,140 kwa Petroli
Aidha, Septemba 2020, Tsh. 10,000 ilikuwa na uwezo wa kununua Lita 5.3 za Petroli kwa Dar, wakati hadi Septemba 2024, kiasi hicho kinanunua Lita 3.1 za Petroli, Lita 3.3 za Dizeli na Lita 3.2 za Mafuta ya Taa.
Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini Tanzania kwa Miaka 10
Mwaka | Petroli | Dizeli | Mafuta ya Taa
2014 - Tsh. 2,267 - Tsh. 2,091 - Tsh. 2,040
2015 - 2,153 - 1,832 - 1,770
2016 - 1,840 - 1,747 - 1,673
2017 - 1,989 1,887 1,811
2018 - 2,373 2,273 2,247
2019 - 2,236 2,168 2,132
2020 - 1,852 1,793 1,692
2021 - 2,427 2,251 2,176
2022 - 2,969 3,125 3,335
2023 - 3,213 3,259 2,943
2024 - 3,140 3,011 3,121
SOURCE: EWURA
Inaweza kuwa anataka sana kuhamia huko ila ushuru wa kuingiza gari la umeme au la gesi, bei yake haikamatiki. Kodi bandarini zipo juu sanaWatu wanaacha kutumia petroli, wapo kwenye Gas na Umeme, wewe bado umeng'ata tu?
Ng'atuka.
Siyo kweli, magari ya umeme ushuru upo chini kabisa. Hilo hilo alilona;lo anaweza kulibadili mfumo likawa la gas.Inaweza kuwa anataka sana kuhamia huko ila ushuru wa kuingiza gari la umeme au la gesi, bei yake haikamatiki. Kodi bandarini zipo juu sana
Mtanikumbuka by mwendazakeView attachment 3119922
Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini kwa kipindi cha Miaka 10 (2014-2024 zinaonesha miaka ya 2015, 2016, 2017 na 2020 pekee ndio ilishuhudia Bei za chini za Mafuta nchini Tanzania kulinganisha na miaka mingine
Kwa mujibu wa takimu za EWURA, kwa kipindi cha miaka mitatu (2022, 2023, 2024) bei ya mafuta imebaki kuwa juu kuliko kipindi kingine ikitoka katika Wastani wa Tsh. 2,969 kwa lita hadi Tsh. 3,140 kwa Petroli
Aidha, Septemba 2020, Tsh. 10,000 ilikuwa na uwezo wa kununua Lita 5.3 za Petroli kwa Dar, wakati hadi Septemba 2024, kiasi hicho kinanunua Lita 3.1 za Petroli, Lita 3.3 za Dizeli na Lita 3.2 za Mafuta ya Taa.
Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini Tanzania kwa Miaka 10
Mwaka | Petroli | Dizeli | Mafuta ya Taa
2014 - Tsh. 2,267 - Tsh. 2,091 - Tsh. 2,040
2015 - 2,153 - 1,832 - 1,770
2016 - 1,840 - 1,747 - 1,673
2017 - 1,989 1,887 1,811
2018 - 2,373 2,273 2,247
2019 - 2,236 2,168 2,132
2020 - 1,852 1,793 1,692
2021 - 2,427 2,251 2,176
2022 - 2,969 3,125 3,335
2023 - 3,213 3,259 2,943
2024 - 3,140 3,011 3,121
SOURCE: EWURA
Mtanikumbuka by mwendazakeKipindi icho mfukobwa cement ulikuwa unauzwa 12500/= sasa ivi unauzwa 23000/=
Angalau leo diesel lita 5 kwa 15,000.View attachment 3119922
Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini kwa kipindi cha Miaka 10 (2014-2024 zinaonesha miaka ya 2015, 2016, 2017 na 2020 pekee ndio ilishuhudia Bei za chini za Mafuta nchini Tanzania kulinganisha na miaka mingine
Kwa mujibu wa takimu za EWURA, kwa kipindi cha miaka mitatu (2022, 2023, 2024) bei ya mafuta imebaki kuwa juu kuliko kipindi kingine ikitoka katika Wastani wa Tsh. 2,969 kwa lita hadi Tsh. 3,140 kwa Petroli
Aidha, Septemba 2020, Tsh. 10,000 ilikuwa na uwezo wa kununua Lita 5.3 za Petroli kwa Dar, wakati hadi Septemba 2024, kiasi hicho kinanunua Lita 3.1 za Petroli, Lita 3.3 za Dizeli na Lita 3.2 za Mafuta ya Taa.
Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini Tanzania kwa Miaka 10
Mwaka | Petroli | Dizeli | Mafuta ya Taa
2014 - Tsh. 2,267 - Tsh. 2,091 - Tsh. 2,040
2015 - 2,153 - 1,832 - 1,770
2016 - 1,840 - 1,747 - 1,673
2017 - 1,989 1,887 1,811
2018 - 2,373 2,273 2,247
2019 - 2,236 2,168 2,132
2020 - 1,852 1,793 1,692
2021 - 2,427 2,251 2,176
2022 - 2,969 3,125 3,335
2023 - 3,213 3,259 2,943
2024 - 3,140 3,011 3,121
SOURCE: EWURA
Sawa mrembo, unaweza kubadili gari litumie gesi.Hilo hilo alilona;lo anaweza kulibadili mfumo likawa la gas.
Kafanye homework yako vizuri.
Magu aliwezaje Hawa wanashindwa?View attachment 3119922