Mwaka 2021 umefika ukingoni, mbaya zaidi ni watanzania wenye uchungu na taifa lao,ambao wanapinga ubadhilifu walibatizwa jina la Sukuma gang.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Huu mwaka haukuwa mzuri sana kwa taifa letu maana tumepoteza ndugu na viongozi wetu. Wengine baada ya kuondoka na kuaga dunia yameibuka mambo mengi.

Sasa kila mtanzania anayepinga ufisadi na kuenzi mazuri yaliokuwa yanafanywa na hayati JPM lazima atapachikwa jina la Sukuma gang.

Kila mtanzania anahitaji kuona rasilimali za taifa hili zinatumiwa kwa manufaa ya taifa letu ili Zahanati, shule, na miondo mbinu ikae vizuri kwa manufaa ya taifa hili.

Sio kusikia habari za mgao wa Umeme, ufisadi kama wa Esrow na matumizi mabaya ya ofisi ya umma.

Inasikitisha kuita mtu Sukuma gang kisa tu anapinga ufisadi.
 
Kwel kbs wengine wakahoji matumiz ya ile 1.5trl wakaishia kufutwa kaz!!
 
Hakuna lolote jema mlilonalo wajukuu wa marehemu Magu, Mungu aendelee kuwapa ugumu wa moyo na maumivu makali. Hakuna uzalendo wowote mlionao zaidi ya ubaguzii wa kikabila na kikanda. Sukuma Gang ni adui wa taifa. Wanapaswa kutoweshwa.
 
Msoga gang wako kwenye usukani wanarudisha walizozitapika enzi za Mwendazake.
Ni kawaida yao kuwachafua wapinga ufisadi.
 
Hii nchi ilishaongozwa na Marais wengi na kila moja anamchango wake kwa namna yake. Tusihangaike na mtu moja na kubeza wengine. Hakuna! Kafie mbele wewe sukuma gang na legacy yako feki.
 
Sema ukweli waliambukizwa tabia mbaya za ubaguzi, unyanyapaa, na sii kweli walipigana na ufisadi Kwa dhati ila walizibiti upatikanaji taarifa za matendo ya ufisadi.
 
Msoga gang wako kwenye usukani wanarudisha walizozitapika enzi za Mwendazake.
Ni kawaida yao kuwachafua wapinga ufisadi.
Acheni mawazo mgando, ni Bora hata mnaowaita msoga, taarifa zilikuwa huru kama ni taarifa za ufisadi mwangwi ulisikika Kila Kona, sii enzi za ubaguzi na kuzika /zuia taarifa Ili kujipatia sifa za uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…