Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Huu mwaka haukuwa mzuri sana kwa taifa letu maana tumepoteza ndugu na viongozi wetu. Wengine baada ya kuondoka na kuaga dunia yameibuka mambo mengi.
Sasa kila mtanzania anayepinga ufisadi na kuenzi mazuri yaliokuwa yanafanywa na hayati JPM lazima atapachikwa jina la Sukuma gang.
Kila mtanzania anahitaji kuona rasilimali za taifa hili zinatumiwa kwa manufaa ya taifa letu ili Zahanati, shule, na miondo mbinu ikae vizuri kwa manufaa ya taifa hili.
Sio kusikia habari za mgao wa Umeme, ufisadi kama wa Esrow na matumizi mabaya ya ofisi ya umma.
Inasikitisha kuita mtu Sukuma gang kisa tu anapinga ufisadi.