Mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu tangu nchi yetu kupata Uhuru

Mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu tangu nchi yetu kupata Uhuru

Mvua kuchelewa haimaanishi hazitonyesha za kutosha. Zimechelewa kuanza na zitachelewa kuisha.

After all tunahitaji mvua za kutosha Mbeya, Rukwa, Iringa, Ruvuma na Morogoro.
 
Haya yameongelewa toka nazaliwa Na bado tunasonga; ugumu anao mtu Na sio maisha!

Hakuna siku umekuwa Na hela ukakosa kitu, mvua haileti hela; hela tafuta, then maisha mepesi.
Mzee, naona upo nje ya mada. Mimi sijaongelea hela. Wapi nimetaja hela!?
 
Wananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana.

Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno. Kutakuwa na ukosefu mkubwa was chakula haijawahi kutokea. Mifugo mingi itakufa. Umaskini utazikumba familia nyingi.

Sijui ni nini kinatakiwa kufanyika. Maana hali siyo shwari, hali ni ngumu mno.
Tutamkumbuka Dkt Magufuli, maana angekuwepo mpaka sasa angekuwa kaanza kuweka mikakati
 
Wananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana.

Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno. Kutakuwa na ukosefu mkubwa was chakula haijawahi kutokea. Mifugo mingi itakufa. Umaskini utazikumba familia nyingi.

Sijui ni nini kinatakiwa kufanyika. Maana hali siyo shwari, hali ni ngumu mno.
Dhambi ya kumuua baba.
 
Haya yameongelewa toka nazaliwa Na bado tunasonga; ugumu anao mtu Na sio maisha!

Hakuna siku umekuwa Na hela ukakosa kitu, mvua haileti hela; hela tafuta, then maisha mepesi.
Hizo ni tambo zako binafsi, hapa watu wanaangalia hali kwa ujumla wake, na hasa ukizingatia sehemu kubwa ya wananchi ni wakulima na wafugaji

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Chifu Hangaya atapiga tunguli mvua itanyeesha
 
God will provide,kwa wale wanaolima mahindi kwa miezi ya tisa Hadi 12 watayakosa,lakini mvua zitakuwepo kuanzia mwezi wa kwanza na watu wanaolima mpunga wajiandae,watapata Sana mpunga kwa mwaka huu,Ila mahindi yatakuwa ya shida kidogo.
 
Ninaamini umeyaandika haya kwa uzoefu wako binafsi juu ya mvua za tanzania.
Ninaomba ujifunze jambo moja;,Mabadiliko ya tabianchi hupelekea pia kubadilika kwa vipindi na majira.
Kamwe,Mwenyezi Mungu hataiangamiza nchi yetu kwa ukame kama mnavyoombe! Never!
 
Back
Top Bottom