Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Mzee, naona upo nje ya mada. Mimi sijaongelea hela. Wapi nimetaja hela!?Haya yameongelewa toka nazaliwa Na bado tunasonga; ugumu anao mtu Na sio maisha!
Hakuna siku umekuwa Na hela ukakosa kitu, mvua haileti hela; hela tafuta, then maisha mepesi.
Tutamkumbuka Dkt Magufuli, maana angekuwepo mpaka sasa angekuwa kaanza kuweka mikakatiWananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana.
Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno. Kutakuwa na ukosefu mkubwa was chakula haijawahi kutokea. Mifugo mingi itakufa. Umaskini utazikumba familia nyingi.
Sijui ni nini kinatakiwa kufanyika. Maana hali siyo shwari, hali ni ngumu mno.
Mzee, naona upo nje ya mada. Mimi sijaongelea hela. Wapi nimetaja hela!?
Dhambi ya kumuua baba.Wananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana.
Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno. Kutakuwa na ukosefu mkubwa was chakula haijawahi kutokea. Mifugo mingi itakufa. Umaskini utazikumba familia nyingi.
Sijui ni nini kinatakiwa kufanyika. Maana hali siyo shwari, hali ni ngumu mno.
Mzee hela si chochote mbele ya ukame. Pesa inaweza kuleta mvua!?Huwezi ongelea ugumu wa maisha ukaacha hela
Tena ya kubipu tu.Inanyesha maeneo maeneo tu.
Umemsoma vizuri mtoa mada?katika hali ya kawaida muda huu huwa mazao yameshaota kwenye sehemu kubwa ya nchi, mwaka huu hali ni tofauti, kiukweli hali inatia shaka sanaItanyesha tu, au ni mda wa kubadili vipindi
Na Imani itanyesha tu I don't want to be negativeNdio unavyoona. But dalili zote zinaonesha.
Hizo ni tambo zako binafsi, hapa watu wanaangalia hali kwa ujumla wake, na hasa ukizingatia sehemu kubwa ya wananchi ni wakulima na wafugajiHaya yameongelewa toka nazaliwa Na bado tunasonga; ugumu anao mtu Na sio maisha!
Hakuna siku umekuwa Na hela ukakosa kitu, mvua haileti hela; hela tafuta, then maisha mepesi.
Hizo ni tambo zako binafsi, hapa watu wanaangalia hali kwa ujumla wake, na hasa ukizingatia sehemu kubwa ya wananchi ni wakulima na wafugaji
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Unachofanya ni sahihi. But kuniambia nishindwe na nilegee hujanitendea haki. Sijapenda.Na Imani itanyesha tu I don't want to be negative
Mzee utasumbuka sana katika maisha ukiwa na mawazo haya.Narudia tena, tafuta hela ndo suluhisho
Mzee, naona upo nje ya mada. Mimi sijaongelea hela. Wapi nimetaja hela!?
Usiende nje ya mada. Jikite kwenye mada. Kama imekushinda nenda church kasali. Wapi nimesema ninawasiwasi!?Ila wewe ndo mwaka 2022 unaogopa; mie sina wasiwasi
Usiende nje ya mada. Jikite kwenye mada. Kama imekushinda nenda church kasali. Wapi nimesema ninawasiwasi!?