GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Huku Dar naona mvua zinanyesha sana.Wananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. Kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana.
Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno. Kutakuwa na ukosefu mkubwa was chakula haijawahi kutokea. Mifugo mingi itakufa. Umaskini utazikumba familia nyingi.
Sijui ni nini kinatakiwa kufanyika. Maana hali siyo shwari, hali ni ngumu mno.
Na mkoa huo ndio katika mikoa yenaye neema ya mvua ni huo, sasa kama na huko ni mvua za KUDEMKA DEMKA, tumekwishaa, ila maghala mengi bado hifadhi ya chakula ipo, sema ni utaratibu gani unawekwa ili yasiuzwe nje?!!Hali siyo shwari. Mimi nipo huku katavi upepo wa kiangazi unapiga mwezi huu wa 12.
Magufuli hajawahi toa chakula cha bure ila kikwete.Tutamkumbuka Dkt Magufuli, maana angekuwepo mpaka sasa angekuwa kaanza kuweka mikakati
Mku kama inawezekana ni kujiwekea akibaa tu.Ushindwe na ulegee hakutakuwepo na njaa wala ukame
Kama debe la mahindi Mbozi ni elfu 7, je likifika huko Kigoma litakuwa sh ngapi?Waafrika hovyo sana.Mvua imenyesha miaka 4 mfululizo tangu 2016 tumeshindwa kuweka akiba ya chakula!!
Pumbavu sana ngoja tufe.Kila mtu atafute chaka lake msitafute huruma wala mchawi. Mbozi mahind bado debe sh 7000 kanunueni muweke ndani vinginevyo ni kelele zisizokuwa na tija.
Kumbe unaona dalili nikajua umetumwa na Mungu kutupasha habari. Haijafika stage hiyo bhanaNdio unavyoona. But dalili zote zinaonesha.
Mikakati ya mfungo wa siku 3 kavuTutamkumbuka Dkt Magufuli, maana angekuwepo mpaka sasa angekuwa kaanza kuweka mikakati
Mkuu wa machifu , chifu wa machifu wote ..aaah lazima inyeshee hiyooChifu Hangaya atapiga tunguli mvua itanyeesha
Mahindi yanauzwa itakuwa laana ya Jiwe kuitenga nyanda za juu kusini kimaendeleo pamoja na kuleta mchango mkubwa katika taifa
Watu wengine sijui akili zao zinawazaje, yaani anataja mahindi yasiuzwe nje ili yeye ashibe kwa gharama ndogo huku wakulima wakiumia na kutopea kwenye umaskini.laani ikirudie wewe
Jidanganye tu mkuu. Pesa sio kila kitu. Unaweza kuwa na Pesa ila ukakosa cha kununua. Dunia ni ngumu sana, Mungu tusaidieHaya yameongelewa toka nazaliwa Na bado tunasonga; ugumu anao mtu Na sio maisha!
Hakuna siku umekuwa Na hela ukakosa kitu, mvua haileti hela; hela tafuta, then maisha mepesi.
RAMLI CHONGANISHIWananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. Kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana.
Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno. Kutakuwa na ukosefu mkubwa was chakula haijawahi kutokea. Mifugo mingi itakufa. Umaskini utazikumba familia nyingi.
Sijui ni nini kinatakiwa kufanyika. Maana hali siyo shwari, hali ni ngumu mno.