Mwaka 2023 bilioni 102 ziliidhinishwa kupelekwa kujenga chuo cha kilimo cha Mwalimu Nyerere, Wamefikia wapi ?

Mwaka 2023 bilioni 102 ziliidhinishwa kupelekwa kujenga chuo cha kilimo cha Mwalimu Nyerere, Wamefikia wapi ?

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
933
Reaction score
3,051
Shilingi Bilioni 102 ziliidhinishwa 2023 kwajili ya ujenzi mkubwa wa chuo cha kilimo cha Mwalimu Nyerere Butiama.

Awali chuo hicho kilianziswa 2010 lakini hakikuwahi kudahili wanafunzi, ndipo likawekwa pendekezo la kukijenga vizuri.

Kuna kinachoendelea ?
 
Back
Top Bottom