Mwaka 2023 magoli ya Simba 80% ni ya penati

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Utafiti,

Kwa mwaka ulioisha timu ya Simba ndiyo timu iliyoongoza Kwa kupata ushindi kupitia magoli ya penalty kwenye michuano ya ndani na nje.

Kwenye Kila magoli 3 ya Simba Kuna goli Moja la penalty hivyo hiki ni kiwango kikubwa Kwa timu kinachoweza kuiua timu au kujenga.

Madhara yake
Hii inaweza kufanya timu iwe dormant (kudumaa) since inamtegea mwamuzi kupata matokeo.

Ubora
Hii pia inaonyesha wachezaji wa Simba ni mabingwa wa kupiga penalty lakini pia ni opportunistic (kutafuta penalty either Kwa kujiangusha)

Kwa swali, maoni, mapendekezo unakaribishwa.

Utafiti huu umeandaliwa na chambuzi la JF ... LABAN og
 
Onesha namna hiyo 80% ulivyoipata.

Pia penalty ni adhabu inayotolewa kutokana na kumnyima fursa mshambuliaji kwa njia isiyo sahihi.

Mpira mnapenda kuuongelea kila siku ila hamuujui. Kelele nyingi, katafute pesa ule hata mihogo kaka.
 
⅓x100=33.333@%.
Anyway njia za kukokotoa asilimia zinategemea ulisoma chuo gani.
 
Shida zote hizo za Nini si wangesema tu bwana masele karudi kwani Kuna ubaya?[emoji23]
Your browser is not able to display this video.
 
Ungemalizia kwa kusema, matukio ya mechi nyingi za Simba yamekua yaki wadhalilisha marefa wengi na kuchangia kwa kiasi kikubwa marefa wetu kuto teuliwa kuchezesha michuano mikubwa.
Inasikitisha mkuu...
 
Onesha namna hiyo 80% ulivyoipata.

Pia penalty ni adhabu inayotolewa kutokana na kumnyima fursa mshambuliaji kwa njia isiyo sahihi.

Mpira mnapenda kuuongelea kila siku ila hamuujui. Kelele nyingi, katafute pesa ule hata mihogo kaka.
Capo umerudi na user name ingine?
 
Onesha namna hiyo 80% ulivyoipata.

Pia penalty ni adhabu inayotolewa kutokana na kumnyima fursa mshambuliaji kwa njia isiyo sahihi.

Mpira mnapenda kuuongelea kila siku ila hamuujui. Kelele nyingi, katafute pesa ule hata mihogo kaka.
Sawa mkuu....
 
⅓x100=33.333@%.
Anyway njia za kukokotoa asilimia zinategemea ulisoma chuo gani.
Simba kacheza mechi ngapi

Kafunga goal ngapi za penalty

Anyway sijasoma chuo Cha voice college Cha bwana genta [emoji23][emoji23]
 
We kweli utopolo, 80% imetoka wapi kama kila magoli 3 moja ni penat? 1/3 *100=33.3%.Utopolo ni hivi asilimia ya magoli ya penat ni hiyo hiyo 33.3 hata kama simba wamefunga magoli 1000 mpaka ubadili "kila magoli 3 moja ni penat", Hapo ndio tunajua huko mmejaa vilaza kama alivyosema Manara.
 
Unaijua jumla ya magoli yote ya kolo fc... kwenye michuano yote mwaka 2023
 
Wewe mwenyewe umetuwekea takwimu kwamba Kila goli 3 alizofunga 1 lilikuwa la penati. Na heading inasema 80% ya magoli ya Simba yametokana na penati.
Hayo ni makadilio boss
 
We pumbavu kweli, heading inasema 80% ni penati halafu ndani unasema kwenye kila magoli 3 moja penati sasa inakuwaje 80% penati?
Huko shule mlienda kusomea ujinga au ndio tuamini wenye akili ni wawili tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…