Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Utafiti,
Kwa mwaka ulioisha timu ya Simba ndiyo timu iliyoongoza Kwa kupata ushindi kupitia magoli ya penalty kwenye michuano ya ndani na nje.
Kwenye Kila magoli 3 ya Simba Kuna goli Moja la penalty hivyo hiki ni kiwango kikubwa Kwa timu kinachoweza kuiua timu au kujenga.
Madhara yake
Hii inaweza kufanya timu iwe dormant (kudumaa) since inamtegea mwamuzi kupata matokeo.
Ubora
Hii pia inaonyesha wachezaji wa Simba ni mabingwa wa kupiga penalty lakini pia ni opportunistic (kutafuta penalty either Kwa kujiangusha)
Kwa swali, maoni, mapendekezo unakaribishwa.
Utafiti huu umeandaliwa na chambuzi la JF ... LABAN og