Mwaka 2023 magoli ya Simba 80% ni ya penati

Unaijua jumla ya magoli yote ya kolo fc... kwenye michuano yote mwaka 2023
Uto iko hivi ulivyosema tu kila goli 3 goli moja ni penat, % ya magoli ya penat itakuwa ni 33.33% bila kujali jumla ya magoli yaliyofungwa.

Ngoja nikupe shule naona kwako hesabu changamoto.
Mfano : (1) jumla ya magoli yaliyofungwa ni 40. Magoli ya penati itakuwa 40/3=13.33
(13.33/40)*100=33.33%
(2) magoli yaliyofungwa ikiwa ni 200, magoli ya penati itakuwa 200/3=66.67 (66.67/200)*100=33.33%

Umeelewa hapo uto.
 
Ndugu mchambuzi umeyakanyaga hadi unataka kuikimbia hoja uliyoianzsisha.

Umeleta % ulizozikokotoa kwa akili yako ya kichura chura huku ukiwa hujui kukokotoa hesabu.

Chura banah[emoji16][emoji16]
Hapana mkuu....Mimi ni pcm purely.... hesabu ndo talanta yangu
 
Degree ya chuo Gani Mzee .....au voice college [emoji23]
 
Naiona Yanga ikichukua ubingwa wa ligi ikiwa bado mechi 15 mkononi
 
Degree ya chuo Gani Mzee .....au voice college [emoji23]
Sio kosa kuwa kilaza kwenye hesabu hauko peke yako. Halafu hilo swali halihitaji degree , leta swali level ya degree ili ujue degree yangu imetoka wapi.
 
Sio kosa kuwa kilaza kwenye hesabu hauko peke yako. Halafu hilo swali halihitaji degree , leta swali level ya degree ili ujue degree yangu imetoka wapi.
Vijana kama nyie ni hasara Kwa taifa
 
We kipepe kama avatar yako 🀣 🀣 anza kutunza rekodi ya 2024....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…