Uto iko hivi ulivyosema tu kila goli 3 goli moja ni penat, % ya magoli ya penat itakuwa ni 33.33% bila kujali jumla ya magoli yaliyofungwa.Unaijua jumla ya magoli yote ya kolo fc... kwenye michuano yote mwaka 2023
Ngoja nikupe shule naona kwako hesabu changamoto.
Mfano : (1) jumla ya magoli yaliyofungwa ni 40. Magoli ya penati itakuwa 40/3=13.33
(13.33/40)*100=33.33%
(2) magoli yaliyofungwa ikiwa ni 200, magoli ya penati itakuwa 200/3=66.67 (66.67/200)*100=33.33%
Umeelewa hapo uto.