Mwaka 2023 nitafia shambani, eeh Mungu nisaidie!

Hongera sn mkuu kwa uthubutu, lakin hebu fanya mpango wa kilimo cha umwagiliaji tengeneza miundombinu ya umwagiliaji shambani kwako mana investment unayoifanya kutegemea mvua tu pekee haitoshi.
Na kwa members wengine ambao mnahitaji mashamba ya kukodisha, nakodisha mashamba yangu mwenyewe yaliyopo karibu na chanzo cha maji na maji hayakauki mwaka mzima, nawakaribisha Malolo - Mikumi wilayani Kilosa.
Kwa kutembelea mashamba na mawasiliano zaidi Whatsapp/normal calls 0688 476 770
 
Kivipi viwe vidogo? Na udogo unaupimaje?
Namna ya utendaji wa viwanda ndo unakuwezesha kujua kipo katika daraja gani, mfano vidogo shughuli asilimia karibu 70% vinahitaji nguvu kazi yako , vya kati itakuwa 50% na vile vikubwa 10% ya nguvu kazi yako itahitajika.
 
U
Huko badae urudi tu kutujuza
 
Namna ya utendaji wa viwanda ndo unakuwezesha kujua kipo katika daraja gani, mfano vidogo shughuli asilimia karibu 70% vinahitaji nguvu kazi yako , vya kati itakuwa 50% na vile vikubwa 10% ya nguvu kazi yako itahitajika.
Sasa vile vilivyopo kibaigwa vina tofauti ipi na huko?
 
Kila
Kila la heri. Tunasubiri mrejesho.
 
Mawazo, Msimamo, Mikakati yako yote ni mipango mizuri. Nenda kwenye utekelezaji na kwa nia njema uliyokuwa nayo urudi hapa utupe matokeo baada ya msimu wa kwanza kumalizika.
 
Vizuri mkuu. Nashauri katika ununuzi wa shamba. Nunua shamba ambalo maji yapo. Sio kwamba ya kuchimba. Yawepo. Kwa maana ya mto, bwawa au chanzo kingine.
 
Hakikisha bwana shamba wako anashamba lake ana lima

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Sisi Vijana tunaopambana na kuamini kuwa bado tunaweza kupata mitaji shambani, Mungu wa mbinguni aendelee kutushika mkono. Binafsi nimepambana kutoka 2016 baada tu ya kuhitimu masomo yangu mwaka 2015 nikiwa nalima zao la Mahindi. Kwa bahati mbaya sana mwaka jana ndiyo ungekuwa mwaka wa mimi kutoboa lakini UKAME ukakausha mahindi almost ekari 14. NNikaishiakupata gunia 18 tu!

Sijakata ttanaamwaka huu jimeipmngia tena, ninaamini ni mwaka wangu wa kutoboa. Uzuri mahsmba ninayo mengi na ni ya bure kabisaa.

Vijana tusichoke tuendelee kupambana, nimewashuhudia vijana wengi wakitoboa kupitia kilimo. Hata mimi mwaka 2018 niliwahi kupata mahindi mengi lakini nikafanya ujinga mmoja nikijisemea kuwa acha nisubiri bei zipande.

2023 the Year of Youth in Agriculture.
 

Kilimo unafanya mkoa gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…