Sasa kwa nini nyie CCM huwa mkiambiwa umaskini bado mkubwa sana nchini mnakuwa wakali kama pilipili kichaa??Hili ndio jibu umaskini umezidi si ajabu hata Boss wa TRA alikuwa anashangaa Nchi ya watu 65mln wenye Tin namba na kulipa Kodi hawazisi mil.2
Ruvuma, Singida, Mtwara na Tabora hakuna viwanja vya ndegePesa ya likizo waweke kwa viwango vya nauli ya ndege , kila mtu ataenda kwao kwa ndege , wale wa Dar-Mbeya wana moyo kusafiri na gari .
Well no offence, watengeneze raia mbumbumbu ili iwe rahisi kuwatawalaHii ni stategy ya Nyerere kuwadumaza watu wasiweze kudai haki zao
Tanzania ni nchi ya kipumbavu sana! Ukiomba passport wanataka ulete barua ya mwaliko au kama ni chuo uwape admission letter! Passport ni haki ya kikatiba ya kila Raia! Anakwenda wapi ni juu yake ila maccm ni mapumbavu mpaka yanaingilia taasisi kama uhamiaji hivyo watz wanakuwa washamba kusafiri! Shwaini wakubwa sana!Watanzania wanasafiri kwa ndege wakienda wapi??
Wasanii wa Tanzania walioenda Korea kwa kina Jumong nauli ya ndege walilipiwa, sasa hizo kazi za hapa bongo zinawasaidiaje kama hata msanii inabidi aombe kulipiwa nauli ya ndege kwa kodi za raia?! Umaskini mtupu.Wakenya wengi ni manesi nchi za ulaya na marekani
Wakenya wengi ni ma house girl uarabuni.
Hivyo wanasafiri sana kwa ndege kwenda majuu makazini kwao na kurudi kenya likizo ama kuhudhuria misiba ya wazazi wao.
Tofauti na wabongo wengi wanafanya kazi hapa hapa bongo. Na wachache ni ma house girl uarabuni.. ambao hawana tabia ya kurudi bongo mara kwa mara
NiceKusafiri kwa ndege kwa baadhi ya nchi ni lazima wala sio anasa kutokana na ubovu wa miundombinu na usalama. Wakongo wanapanda sana ndege kutokana na ubovu wa barabara zao na usalama mdogo. Hivyo hauwezi kusema wakongo ni matajiri sana kuliko watanzania kisa wanapanda ndege.
Huwa nashangaa sana, passport yenyewe unailipia pesa nyingi tu sana ila madoido na urasimu kibao pamoja kucheleweshana tu.Tanzania ni nchi ya kipumbavu sana! Ukiomba passport wanataka ulete barua ya mwaliko au kama ni chuo uwape admission letter! Passport ni haki ya kikatiba ya kila Raia! Anakwenda wapi ni juu yake ila maccm ni mapumbavu mpaka yanaingilia taasisi kama uhamiaji hivyo watz wanakuwa washamba kusafiri! Shwaini wakubwa sana!
Dar - mbeya ni mbali , Mtwara kipo miaka yoteRuvuma, Singida, Mtwara na Tabora hakuna viwanja vya ndege
Wazee wake Mohamed Said na FaizaFoxy wa huko Kariakoo wataongoza katika hili.Hebu weka Data za unywaji kahawa chungu kati yetu na Wakenya nani anaongoza?!
Sio watu wote wanaosafiri kwenda Mbeya wanatoka Dar, wengine wanatoka Musoma, Lindi, Shinyanga, Mara n.kDar - mbeya ni mbali , Mtwara kipo miaka yote
Mmojwapo aliyekuwa kwenye timu ya ile ndoto ya maisha bora kwa kila Mtanzania na mwanahisa wa fastjest Lau Masha ameonekana hivi karibuni huko Buza akiombewa na nabii kiboko ya wachawi! Kalaghabo.Ile ndoto ya maisha bora kwa kila Mtanzania ni kanyaboya tu litumiwalo na CCM.Sasa,hebu fikiria,mleta uzi na yeye anatuuliza kwa nini Watanzania hawapandi ndege kwa wingi kama Wakenya!Yaani hajui kabisa!Holy Moly!Holy mackerel!
Na hao 3.8 M ni Wanaccm tu na chawa. Baasi.Kwa Mujibu wa takwimu za usafiri zilizotolewa na mamlaka ya anga ya Nchi zote ,inaonesha WaKenya wakitumia usafiri wa ndege mara 3 zaidi ya Watanzania ambapo takribani watu Milioni 12.3 Walisafiri Kwa Ndege huko Kenya wakowemo wageni zaidi ya mil.5 na raia zaidi ya mil. 6.
View attachment 3050756
Kwa upande wa Tanzania ,mwaka huo huo takribani watu Mil.3.8 wakitumia usafiri wa ndege ambapo kati ya hao zaidi ya mil.2 ni wageni na raia ni chini ya mil.2.
Kwa takwimu hizi ,hivi ni kwamba Watanzania sisi ni maskini kiasi hicho au Kuna sababu zingine zinazofanya hatusafi Kwa Ndege?
Unaweza Kuta 90% ya Watanzania hawajawahi kuona tiketi ya ndege.Naomba kuwasilishwa 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C9wu0Z2ou6d/?igsh=OHgzcnVyZXZjcmFk
Labda zile fisi za KataviNdege zenyewe ziko wapi?
Unaweza ukacheka lakini ni mapito magumu kwake na haipaswi kucheka zaidi ya kujitafakari tu.Kuna kitu hakijakaa vizuri kwa ndugu huyo.Mmojwapo aliyekuwa kwenye timu ya ile ndoto ya maisha bora kwa kila Mtanzania na mwanahisa wa fastjest Lau Masha ameonekana hivi karibuni huko Buza akiombewa na nabii kiboko ya wachawi! Kalaghabo.
Ni mizunguko ya maza na chawa wakeNa hao 3.8 M ni Wanaccm tu na chawa. Baasi.