Mwaka 2023, wakenya milioni 12 walisafiri kwa ndege ilhali watanzania milioni 3.8. Je, sisi watanzania shida ni umaskini au tunaogopa kusafiri?

Mwaka 2023, wakenya milioni 12 walisafiri kwa ndege ilhali watanzania milioni 3.8. Je, sisi watanzania shida ni umaskini au tunaogopa kusafiri?

Watanzania wanasafiri kwa ndege wakienda wapi??
Tanzania ni nchi ya kipumbavu sana! Ukiomba passport wanataka ulete barua ya mwaliko au kama ni chuo uwape admission letter! Passport ni haki ya kikatiba ya kila Raia! Anakwenda wapi ni juu yake ila maccm ni mapumbavu mpaka yanaingilia taasisi kama uhamiaji hivyo watz wanakuwa washamba kusafiri! Shwaini wakubwa sana!
 
Wakenya wengi ni manesi nchi za ulaya na marekani

Wakenya wengi ni ma house girl uarabuni.

Hivyo wanasafiri sana kwa ndege kwenda majuu makazini kwao na kurudi kenya likizo ama kuhudhuria misiba ya wazazi wao.

Tofauti na wabongo wengi wanafanya kazi hapa hapa bongo. Na wachache ni ma house girl uarabuni.. ambao hawana tabia ya kurudi bongo mara kwa mara
Wasanii wa Tanzania walioenda Korea kwa kina Jumong nauli ya ndege walilipiwa, sasa hizo kazi za hapa bongo zinawasaidiaje kama hata msanii inabidi aombe kulipiwa nauli ya ndege kwa kodi za raia?! Umaskini mtupu.
 
Tanzania ni nchi ya kipumbavu sana! Ukiomba passport wanataka ulete barua ya mwaliko au kama ni chuo uwape admission letter! Passport ni haki ya kikatiba ya kila Raia! Anakwenda wapi ni juu yake ila maccm ni mapumbavu mpaka yanaingilia taasisi kama uhamiaji hivyo watz wanakuwa washamba kusafiri! Shwaini wakubwa sana!
Huwa nashangaa sana, passport yenyewe unailipia pesa nyingi tu sana ila madoido na urasimu kibao pamoja kucheleweshana tu.
 
Ile ndoto ya maisha bora kwa kila Mtanzania ni kanyaboya tu litumiwalo na CCM.Sasa,hebu fikiria,mleta uzi na yeye anatuuliza kwa nini Watanzania hawapandi ndege kwa wingi kama Wakenya!Yaani hajui kabisa!Holy Moly!Holy mackerel!
Mmojwapo aliyekuwa kwenye timu ya ile ndoto ya maisha bora kwa kila Mtanzania na mwanahisa wa fastjest Lau Masha ameonekana hivi karibuni huko Buza akiombewa na nabii kiboko ya wachawi! Kalaghabo.
 
Kwa Mujibu wa takwimu za usafiri zilizotolewa na mamlaka ya anga ya Nchi zote ,inaonesha WaKenya wakitumia usafiri wa ndege mara 3 zaidi ya Watanzania ambapo takribani watu Milioni 12.3 Walisafiri Kwa Ndege huko Kenya wakowemo wageni zaidi ya mil.5 na raia zaidi ya mil. 6.

View attachment 3050756

Kwa upande wa Tanzania ,mwaka huo huo takribani watu Mil.3.8 wakitumia usafiri wa ndege ambapo kati ya hao zaidi ya mil.2 ni wageni na raia ni chini ya mil.2.

Kwa takwimu hizi ,hivi ni kwamba Watanzania sisi ni maskini kiasi hicho au Kuna sababu zingine zinazofanya hatusafi Kwa Ndege?

Unaweza Kuta 90% ya Watanzania hawajawahi kuona tiketi ya ndege.Naomba kuwasilishwa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C9wu0Z2ou6d/?igsh=OHgzcnVyZXZjcmFk

Na hao 3.8 M ni Wanaccm tu na chawa. Baasi.
 
Mmojwapo aliyekuwa kwenye timu ya ile ndoto ya maisha bora kwa kila Mtanzania na mwanahisa wa fastjest Lau Masha ameonekana hivi karibuni huko Buza akiombewa na nabii kiboko ya wachawi! Kalaghabo.
Unaweza ukacheka lakini ni mapito magumu kwake na haipaswi kucheka zaidi ya kujitafakari tu.Kuna kitu hakijakaa vizuri kwa ndugu huyo.
 
Back
Top Bottom