Mwaka 2023, wakenya milioni 12 walisafiri kwa ndege ilhali watanzania milioni 3.8. Je, sisi watanzania shida ni umaskini au tunaogopa kusafiri?

Mada ni Kenya vs Tanznaia.Wana miundombinu ya Barabara mizuri kuliko sisi lakini wanatumia sana usafiri wa ndege ndani ya Nchi.

Kwa nini sisi Watanzania tunaona ndege ni anasa au hatuna pesa?
Ungepost kwenye page yako na mumeo kama hutaki maoni mchanganyiko. Pumbav
 
umaskini na exposure.
 
Sio umasikini ushawahi kufanya application za passport pale uhamiaji mwarabu na muhindi anapewa passport ndani ya siku moja ila mtanzania kupata passport ngoja niishie hapo.
 
Unaujua mshahara au kipato cha kawaida cha Mtanzania?
 
Sio umasikini ushawahi kufanya application za passport pale uhamiaji mwarabu na muhindi anapewa passport ndani ya siku moja ila mtanzania kupata passport ngoja niishie hapo.
Domestic travel Je?
 
Wazee wake Mohamed Said na FaizaFoxy wa huko Kariakoo wataongoza katika hili.
katika hao Watanzania million 3 wanaopanda ndege, utakuta 90% wa Kariakoo.

Kariakoo ndiyo chimbuko la kila kitu Tanzania hii.

Nimeanza kupanda ndege mwaka 1974, East African Airways. Na dege lao lilikuwa VC 10.

Bibi yako sana sana aturingishie kwa kupanda fisi tu.
 
Nani kakwambia kusafiri na ndege ni ghali kiasi hicho? One way ni nauli ya basi mara 2 ,
Hata kama ingekuwa kweli nauli ya ndege ni sawa na nauli ya basi mara mbili tu, wewe unaiona hiyo ni pesa ndogo kwa middle class wa bongo??
Yani nauli ya bus kutoka kwenu Mbeya kwenda Dar na kurudi ni 120,000 halafu Mtanzania wa kipato cha kati ajipeleke kwenye 240,000 ambayo ni sawa na robo ya mshahara wake??
 
Sisi wengine usafiri wetu mkubwa ni "ungo"
Sijui watatuweka kwenye kundi gani?
 
Yani watu sijui wanachukuliaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…