Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungepost kwenye page yako na mumeo kama hutaki maoni mchanganyiko. PumbavMada ni Kenya vs Tanznaia.Wana miundombinu ya Barabara mizuri kuliko sisi lakini wanatumia sana usafiri wa ndege ndani ya Nchi.
Kwa nini sisi Watanzania tunaona ndege ni anasa au hatuna pesa?
umaskini na exposure.Kwa mujibu wa takwimu za usafiri zilizotolewa na mamlaka ya anga ya Nchi zote inaonesha wakenya wakitumia usafiri wa ndege mara 3 zaidi ya Watanzania ambapo takribani watu Milioni 12.3 walisafiri kwa Ndege huko Kenya wakiwemo wageni zaidi ya mil. 5 na raia zaidi ya mil. 6.
Kwa upande wa Tanzania ,mwaka huo huo takribani watu Mil.3.8 wakitumia usafiri wa ndege ambapo kati ya hao zaidi ya mil.2 ni wageni na raia ni chini ya mil.2.
Kwa takwimu hizi ,hivi ni kwamba Watanzania sisi ni maskini kiasi hicho au Kuna sababu zingine zinazofanya hatusafi Kwa Ndege?
Unaweza Kuta 90% ya Watanzania hawajawahi kuona tiketi ya ndege. Naomba kuwasilisha 👇👇
Sio umasikini ushawahi kufanya application za passport pale uhamiaji mwarabu na muhindi anapewa passport ndani ya siku moja ila mtanzania kupata passport ngoja niishie hapo.Kwa mujibu wa takwimu za usafiri zilizotolewa na mamlaka ya anga ya Nchi zote inaonesha wakenya wakitumia usafiri wa ndege mara 3 zaidi ya Watanzania ambapo takribani watu Milioni 12.3 walisafiri kwa Ndege huko Kenya wakiwemo wageni zaidi ya mil. 5 na raia zaidi ya mil. 6.
Kwa upande wa Tanzania ,mwaka huo huo takribani watu Mil.3.8 wakitumia usafiri wa ndege ambapo kati ya hao zaidi ya mil.2 ni wageni na raia ni chini ya mil.2.
Kwa takwimu hizi ,hivi ni kwamba Watanzania sisi ni maskini kiasi hicho au Kuna sababu zingine zinazofanya hatusafi Kwa Ndege?
Unaweza Kuta 90% ya Watanzania hawajawahi kuona tiketi ya ndege. Naomba kuwasilisha [emoji116][emoji116]
Unaujua mshahara au kipato cha kawaida cha Mtanzania?Kuna imani tumejiwekea kwamba ndege wanapanda wenye nazo haswa..!!! Mtu analinganisha Tshs. laki tano na ushee ya return ticket Dar Mwanza Dar,na kupata basi. Hatunaga utaratibu wa kugeuza shida za kupanda basi kuwa pesa ili tulinganishe na nauli ya ndege
NakijuaUnaujua mshahara au kipato cha kawaida cha Mtanzania?
Usimchukulie Lucas poa! Anaweza akawa ni mtu mzito sana kuliko wengi wanavyomchukulia.Wewe mwenyewe huwezi kusafiri na ndege kutoka kwenu Mbeya hadi Dar sasa unafikiri itakuwa rahisi kwa mtu wa Mbozi kama Lucas Mwashambwa kusafiri na ndege??
Ndege bado ni anasa kubwa sana bongo.
Domestic travel Je?Sio umasikini ushawahi kufanya application za passport pale uhamiaji mwarabu na muhindi anapewa passport ndani ya siku moja ila mtanzania kupata passport ngoja niishie hapo.
Jikite kwenye hojaUngepost kwenye page yako na mumeo kama hutaki maoni mchanganyiko. Pumbav
Domestic travel ni uelewa sio swala la uchumi wengi wanadhani bei za ndege ni ghali wakati kiuhalisia sio kweli.Domestic travel Je?
katika hao Watanzania million 3 wanaopanda ndege, utakuta 90% wa Kariakoo.Wazee wake Mohamed Said na FaizaFoxy wa huko Kariakoo wataongoza katika hili.
Nani kakwambia kusafiri na ndege ni ghali kiasi hicho? One way ni nauli ya basi mara 2 ,unadhani sisi wote matajiri kama ww mkuu?
Hio hela ya kupanda KIMOTCO tu hatuna sijasafiri miaka chungu nzima
Si ndo hapoWatanzania wanasafiri kwa ndege wakienda wapi??
Sasa hio nauli ya basi mara 2 mimi si nshaenda mwanza na kurudi? 150kNani kakwambia kusafiri na ndege ni ghali kiasi hicho? One way ni nauli ya basi mara 2 ,
Hata kama ingekuwa kweli nauli ya ndege ni sawa na nauli ya basi mara mbili tu, wewe unaiona hiyo ni pesa ndogo kwa middle class wa bongo??Nani kakwambia kusafiri na ndege ni ghali kiasi hicho? One way ni nauli ya basi mara 2 ,
Yani watu sijui wanachukuliajeHata kama ingekuwa kweli nauli ya ndege ni sawa na nauli ya basi mara mbili tu, wewe unaiona hiyo ni pesa ndogo kwa middle class wa bongo??
Yani nauli ya bus kutoka kwenu Mbeya kwenda Dar na kurudi ni 120,000 halafu Mtanzania wa kipato cha kati ajipeleke kwenye 240,000 ambayo ni sawa na robo ya mshahara wake??
Ulilipiwa na ndugu zako, serikali ya Nyerere au Wagalatia wenyewe wa Canada ulipoenda kusoma kwao??Nimeanza kupanda ndege mwaka 1974, East African Airways. Na dege lao lilikuwa VC 10.