Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 213
- 671
Unapambana mtu kumjengea nyumba huku akikulalamikia kwanini hukutumia hela ulizonunua sement kumnunulia nguo.
Damn pole broUnapambana mtu kumjengea nyumba huku akikulalamikia kwanini hukutumia hela ulizonunua sement kumnunulia nguo.
Pole sana Master!!Bado tulio la kufa Kwa shujaaa Magufuli sijalisahau. Yaan hamna tulip jingine bado lakulifunika hili....
Sijui kwann lilitokea Ila mapenzi ya Mungu yaheshimiwe.
Pumzika shujaaa JpM.
Pole mkuuKuumwa maralia kalii nusu nifariki
Shukrani sana mkuuPole mkuu
Jilinde na Jikinge na mbu wa aina zoteShukrani sana mkuu
ThanksPole sana Master!!
Hatimaye nimefanikiwa kununua smart phone aina ya IrtelNashukuru mwaka 2024 nimemnunua mtu Kwa bei poa sanaa