Mwaka 2024 unakuachia kumbukumbu gani ambazo unadhani hautaweza kusahau?

Mwaka wa kingese sana bira uishe tu qmmk.

Mapenzi jau, nimefunga business, kazini nimetolewa kumuendesha boss sahivi nipo gari la pool, nimehama nyumba ya 2B1K1S sahivi single room, kwa kifupi kwangu 2024 uende tu qqmk
 
Mama yangu mzazi kuondoka duniani. Pumzika kwa Amani Mama!
 
Mauaji, utekaji, uteswaji na upotezwaji wa wanasiasa wa upinzani
 
Nilifiwa na mtoto. Kupoteza mil22 kwenye Aviator. Aliyenifundisha alaaniwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…