Mwaka 2024 unakuachia kumbukumbu gani ambazo unadhani hautaweza kusahau?

For Me It has Been A Good Year Indeed, My Struggles Was Not In Vain! I thank God And I'm Wishing You All A Blessed Upcoming New Year Of 2025🎉
 
Kumpoteza bab yangu (R.I.P)
Ni mwak nilioutumia bila kufany vtu by touch , niliishia kuwaza tuu

Kuzama kimapenz kizembe na kuw mzembe kihisia ktk mahusiano
 
Ishu ya yule jamaa Baltasar Ebang Engonga ilitikisa sana mpaka kule nchini kwake wakakata internet
 
Kuchukiwa na boss wangu kazini kisa alikua na demu wake ofisini aliyekua hapendi uwezo wangu wa kazi zaidi yake ilibaki kidogo nimloge 😀 😀 ila neema ya Mungu ilinibeba. hii ilinifanya nitafute kazi kwingine maana mambo yalizidia and sasa am comfortable maana they value my abilities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…