Mwaka 2025, Upinzani utajinyakulia viti vya kutosha Bungeni kama ilivyokuwa 2015, Endapo tu Samia atalazimisha Kusimama !!!

Kwa nini alizima mitandao?

2010, 2015 mitandao ilikuwa full na ushindani wa kisiasa ulikuwa mkubwa ila mitandao haikuzimwa
Aliyejitia kupendwa sana akaogopa na kufanya uchunguzi gizani
Alizima kwasababu ninyi ni watu wa jamuhuri ya mitandao, alitaka watanzania wa kweli wasikike siyo ninyi
 
Alizima kwasababu ninyi ni watu wa jamuhuri ya mitandao, alitaka watanzania wa kweli wasikike siyo ninyi
Alizima sababu alikuwa anaogopa mitandao itaanika upuuzi wake
Wananchi wanaojitambua wapo mtandaoni, wenye elimu wanaoweza kuchambua pumba na mchele

Mazezeta wasiojitambua ndio ambao hawawezi hata kununua kifurushi, wao kila pumba wanayoambiwa na jiwe wanaamini
 
Ila kura ya mazezeta ina value kubwa kuliko ya watu wa jamuhuri ya twiter...Be informed of this!
 
Halina ubishi,ngj wajipe moyo eti anapendwa,tutaingiza ht vichaa bungeni kuikomoa CCM
 
Kaniongeza mshahara harafu nimchukie
 
Endelea kusikitika hadi ufe!

Democrasia ya nyoko? Unakula hiyo democrasia?

Unga 2000
Maharage 4000
Mchele 4000
Mafuta ndio kama hivyo!

Hiyo democrasia yako inakusaidia nini?

Mavi kweli.
Ndo wakati wa kutumia fursa katika kilimo, wekeza kwenye kilimo sasa unufaike. Zamani watu waliacha kuwekeza kwenye kilimo kutokana na kutokuwa na soko la uhakika la mazao au kutokana na bei za mazao kuwa chini ukilinganisha na gharama za uzalishaji.
 
Zile bastola zilizotumika ku force matokeo mwaka 2020 bado hazijatumika ujue.
 
Ngoja tuone
 
Ndo wakati wa kutumia fursa katika kilimo, wekeza kwenye kilimo sasa unufaike. Zamani watu waliacha kuwekeza kwenye kilimo kutokana na kutokuwa na soko la uhakika la mazao au kutokana na bei za mazao kuwa chini ukilinganisha na gharama za uzalishaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…