Mwaka 2025, Upinzani utajinyakulia viti vya kutosha Bungeni kama ilivyokuwa 2015, Endapo tu Samia atalazimisha Kusimama !!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi ukishamili.

Kibaya zaidi kwenye Siasa, Makamba anawaponda Walokufa, kwamba Walokufa, Wana Roho mbaya, wao ni wabaya

Yaaan Hayati Nyerere , Hayati Mkapa? Hayati JPM? !!

Huku Kwa Ground watu Wana hasira Sanaa, hasira ambazo wanamhitaji wawashangaze !!.

Ninaelewa Kwa Makaratasi tu haiwezekan, lakini pia NINA PINGA DOLA HII KUJA KUTALIWA NA UPINZANI.

Kwa hivo basi, Ikawe Heri, 2025, DOLA IMMPUMZISHE SAMIA SULUHU, NA NCHI IPONE , NA DOLA INAYOFATA FALSAFA ZA JPM ITAIBUKA NA USHINDI MKUBWAAA SANA SANA !!.

Zama za TAIFA lolote hapa Duniani kuongozwa Kwa Siasa za aina ya JK wa Msoga , Zilishapita !!.
 
.Kwa hivo basi, Ikawe Heri, 2025, DOLA IMMPUMZISHE SAMIA SULUHU, NA NCHI IPONE , NA DOLA INAYOFATA FALSAFA ZA JPM ITAIBUKA NA USHINDI MKUBWAAA SANA SANA !!.
Kalosi, rekebisha heading yako, ugombea wa Samia 2025 sio wa kulazimisha!, ni ugombea wa mserereko as deserving kwa mujibu wa taratibu za CCM, hivyo kusema endapo atalaziisha, sio kumtendea haki, anayelazimisha ni yule undeserving anae force!.
Ila hili la Samia kugombea 2025, sauti tayari zipo Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
 
Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi ukishamili.

Kibaya zaidi kwenye Siasa, Makamba anawaponda Walokufa, kwamba Walokufa, Wana Roho mbaya, wao ni wabaya

Yaaan Hayati Nyerere , Hayati Mkapa? Hayati JPM? !!

Huku Kwa Ground watu Wana hasira Sanaa, hasira ambazo wanamhitaji wawashangaze !!.

Ninaelewa Kwa Makaratasi tu haiwezekan, lakini pia NINA PINGA DOLA HII KUJA KUTALIWA NA UPINZANI.

Kwa hivo basi, Ikawe Heri, 2025, DOLA IMMPUMZISHE SAMIA SULUHU, NA NCHI IPONE , NA DOLA INAYOFATA FALSAFA ZA JPM ITAIBUKA NA USHINDI MKUBWAAA SANA SANA !!.

Zama za TAIFA lolote hapa Duniani kuongozwa Kwa Siasa za aina ya JK wa Msoga , Zilishapita !!.
Usimuamshe aliyelala , waache waweke galasa
 
Bila Shaka upo usingizini,kwa Taarifa yako Ni kuwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anakubalika na kupendwa Sana na watanzania kutokana na kazi kubwa na ya kutukuka aliyoifanya katika kuwatumikia watanzania wanyonge wasio na sauti katika kuijenga nchi yetu,mh Rais wetu amegusa na kuweka mikono yake katika kila eneo, amefanya uwekezaji wa mabillioni ya pesa za kitanzania kuhakikishia kuwa huduma muhimu zinasogezwa karibu ya mtanzania. Kila eneo utakapokwenda unakuta kazi kubwa imefanywa na mh Rais wetu mpendwa mama Samia,Kwa hakika Rais wetu Hana wa kushindana Naye Wala kushindanishwa naye
 
Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi ukishamili.

Kibaya zaidi kwenye Siasa, Makamba anawaponda Walokufa, kwamba Walokufa, Wana Roho mbaya, wao ni wabaya

Yaaan Hayati Nyerere , Hayati Mkapa? Hayati JPM? !!

Huku Kwa Ground watu Wana hasira Sanaa, hasira ambazo wanamhitaji wawashangaze !!.

Ninaelewa Kwa Makaratasi tu haiwezekan, lakini pia NINA PINGA DOLA HII KUJA KUTALIWA NA UPINZANI.

Kwa hivo basi, Ikawe Heri, 2025, DOLA IMMPUMZISHE SAMIA SULUHU, NA NCHI IPONE , NA DOLA INAYOFATA FALSAFA ZA JPM ITAIBUKA NA USHINDI MKUBWAAA SANA SANA !!.

Zama za TAIFA lolote hapa Duniani kuongozwa Kwa Siasa za aina ya JK wa Msoga , Zilishapita !!.
Wapimzani wamgekuwa watu wa kueleweka tungewapa nchi tuwatoe hao mNyAngau huko ikulu
 
Bila Shaka upo usingizini,kwa Taarifa yako Ni kuwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anakubalika na kupendwa Sana na watanzania kutokana na kazi kubwa na ya kutukuka aliyoifanya katika kuwatumikia watanzania wanyonge wasio na sauti katika kuijenga nchi yetu,mh Rais wetu amegusa na kuweka mikono yake katika kila eneo,amefanya uwekezaji wa mabillioni ya pesa za kitanzania kuhakikishia kuwa huduma muhimu zinasogezwa karibu ya mtanzania. Kila eneo utakapokwenda unakuta kazi kubwa imefanywa na mh Rais wetu mpendwa mama Samia,Kwa hakika Rais wetu Hana wa kushindana Naye Wala kushindanishwa naye
Lukasiiiii!
Katika ubora wako
[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie nani mnayeweza kumpa au kumnyima mtu nchi??
Acha kutumia sigara kubwa na kuota mchana
Wapimzani wamgekuwa watu wa kueleweka tungewapa nchi tuwatoe hao mNyAngau huko ikulu
 
Dk SSH atapita Tena kwa Asilimia Kama zote..

Mwaka 2020 halikuwa na uchaguzi Bali upuuzi wa Jiwe.

Samia hajawahi waogopa Wapinzani kwanza anapenda ukosoaji na sio imwinyi wa yule failure wenu.
Wewe kama hawajakutuma utakua cheti feki au mtumbuliwa. Cheki feki ndio walokua wanaongoza kumchukia jpm. Sababu kubwa akili yao ndogo halafu vyeti feki na maslahi yasiyokua halali ikawapa kudhani wana akili kumbe bado wajinga.
Pointi zako hata kuzipinga moja baada ya nyingine ni taabu maana ni uongo na ujinga mtupu.
 
Hakuwa na akili yule bichwa kubwa
 
Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi ukishamili.

Kibaya zaidi kwenye Siasa, Makamba anawaponda Walokufa, kwamba Walokufa, Wana Roho mbaya, wao ni wabaya

Yaaan Hayati Nyerere , Hayati Mkapa? Hayati JPM? !!

Huku Kwa Ground watu Wana hasira Sanaa, hasira ambazo wanamhitaji wawashangaze !!.

Ninaelewa Kwa Makaratasi tu haiwezekan, lakini pia NINA PINGA DOLA HII KUJA KUTALIWA NA UPINZANI.

Kwa hivo basi, Ikawe Heri, 2025, DOLA IMMPUMZISHE SAMIA SULUHU, NA NCHI IPONE , NA DOLA INAYOFATA FALSAFA ZA JPM ITAIBUKA NA USHINDI MKUBWAAA SANA SANA !!.

Zama za TAIFA lolote hapa Duniani kuongozwa Kwa Siasa za aina ya JK wa Msoga , Zilishapita !!.
Samia atashinda kwa kishindo tena bila kuiba kura kama yule nyangumi
 
kwani upinzani wakipata viti vingi bungeni kuna tatizo gani hata Samia atishike kama unavyotaka? Kwani ni mara ya kwanza hilo kutokea? Mbona JK hakuona shida yo yote na nchi ilikuwa na utulivu na socially ilistawi sana?
 
Bila Shaka upo usingizini,kwa Taarifa yako Ni kuwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anakubalika na kupendwa Sana na watanzania kutokana na kazi kubwa na ya kutukuka aliyoifanya katika kuwatumikia watanzania wanyonge wasio na sauti katika kuijenga nchi yetu,mh Rais wetu amegusa na kuweka mikono yake katika kila eneo,amefanya uwekezaji wa mabillioni ya pesa za kitanzania kuhakikishia kuwa huduma muhimu zinasogezwa karibu ya mtanzania. Kila eneo utakapokwenda unakuta kazi kubwa imefanywa na mh Rais wetu mpendwa mama Samia,Kwa hakika Rais wetu Hana wa kushindana Naye Wala kushindanishwa naye
Njaaa mbaya sana.
 
Back
Top Bottom