Mwaka 2025 wanaCCM wengi watakihama chama chao directly or indirectly. Na huenda ikawa sababu ya anguko kubwa kwa CCM

Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama.

Mfano ni huu uchaguzi wq jumuia za wazazi. Watu wamezila.

Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.
Hata wewe nakukaribisha join the chain usisubiri 2025, Sasa tuko awamu ya mguu Kwa mguu ya join the chain. Hautajilaumu Kwa uamuzi huo.
 
Sidhani kama watu wanaweza hama ccm wakaja huko kwa sasa kutokana na tabia yenu,yaani mtu akihama kutok ccm kuja kwenu eti kavutiwa na sera zenu akihama kutoka kwenu kwenda ccm eti kanunuliwa na nimsaliti.
 
Kununua au kuhama Kwa hiari zipo dhahiri shairi,ila Ile awamu yenu pendwa manunuzi yalikuwa Tena Kwa mnada,na wakati mwingine vitisho,manyanyaso na uonevu wa shinikizo la kibadili mtazamo wa kiitikadi,ikiaminiwa wakati huo nikuwa vyama vyenye mawazo mbadala 🤭
 
Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama.

Mfano ni huu uchaguzi wa jumuia za wazazi. Watu wamezila.

Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.
Tulia chakubanga wewe nyie ndiyo waasisi wa mgawanyo wajinga nyie
Tutawakata wotee
Mataga wotee lazima tule vichwa mlianza wenyewe tulien hivo hivo
Washamba wakubwa
 
Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama.

Mfano ni huu uchaguzi wa jumuia za wazazi. Watu wamezila.

Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.
Endelea kuota hivyo hivyo. Na utasubiri sana.

Hakuna mgawanyiko labda huko kwako nyumbani
 
Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama.

Mfano ni huu uchaguzi wa jumuia za wazazi. Watu wamezila.

Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.
Watahana, upinzani utapata majimbo, ila sio ccm kuanguka.
 
Back
Top Bottom