Mwaka 2025 wanaCCM wengi watakihama chama chao directly or indirectly. Na huenda ikawa sababu ya anguko kubwa kwa CCM

Mwaka 2025 wanaCCM wengi watakihama chama chao directly or indirectly. Na huenda ikawa sababu ya anguko kubwa kwa CCM

Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama.

Mfano ni huu uchaguzi wa jumuia za wazazi. Watu wamezila.

Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.

Yote heri tu kwani si tu watanzania kwanza vyama baadaye?
 
Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama.

Mfano ni huu uchaguzi wa jumuia za wazazi. Watu wamezila.

Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.

Ccm ilishaanguka muda mrefu, vyombo vya dola tu ndio uhai wake. Na kwa taarifa yako ccm haitegemei kura ili kukaa madarakani bali mbeleko ya vyombo vya dola na hii katiba mbovu, dhalimu alidhibitisha hilo. Kwa sasa machafuko tu ndio njia iliyobaki ya kuiondoa ccm madarakani.
 
Sidhani kama watu wanaweza hama ccm wakaja huko kwa sasa kutokana na tabia yenu,yaani mtu akihama kutok ccm kuja kwenu eti kavutiwa na sera zenu akihama kutoka kwenu kwenda ccm eti kanunuliwa na nimsaliti.

Hatutaki takataka yoyote toka ccm, hizo takataka zinazokuja kutaka vyeo kisha zikikosa zinarudi na kuharibu haiba ya cdm. Nendeni ACT, NCCR, TLP and the likes.
 
Tangu lini uchaguzi wa nchi hii ulitegemea wanachama?! Kwa vyama vyote wapiga kura ni wengi kuliko wanachama.
 
Hizi ramli nazisikia Toka 90's kipindi Cha mrema ila hadi Leo ni mtu mzima CCM IPO pale pale inadunda TU! Mtoa maada relax utaondoka wewe utaiacha IPO IPO tu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tulia chakubanga wewe nyie ndiyo waasisi wa mgawanyo wajinga nyie
Tutawakata wotee
Mataga wotee lazima tule vichwa mlianza wenyewe tulien hivo hivo
Washamba wakubwa
Wewe ni nani! Acha ujinga mkuu. Hii nchi si mali ya baba yako.
 
Tatizo mlimgeuza JPM Mungu. Kamwe mambo yake hayawezi kuwa sababu ya kuanguka kwa CCM
 
Naamini chadema watakwenda na sera za Magu 25, iliwapate watu wakutosha.

Mbowe akijifanya kuwa na kisirani na hayati Magu kama hawa chadema wachimbachumvi wa humu JF kumchukia Magu kipumbavu atapoteza sana.

Hawa chadema wachimbachumvi wahumu hawajui nchi inataka nini.

Magu alivyoanza kutumbua mafisadi na kuweka nidhamu kwa watumishi hawa wachimbachumvi wakasema eti kwakuwa nayeye ni ccm hanauhalali wakutumbua mafisadi kwakuwa nayeye ni ccm

Mpina juzi amemtaka January ajitete kwa makosayake kama alivyo yataja, chadema wachimbachumvi wahumu wanasema January kweli anamakosa lakini mpina hana uhalali wa kumkosoa kwasababu eti kwanini hajakosoa wakina mdee nk.

Hopeless kabisa.
 
Tulia chakubanga wewe nyie ndiyo waasisi wa mgawanyo wajinga nyie
Tutawakata wotee
Mataga wotee lazima tule vichwa mlianza wenyewe tulien hivo hivo
Washamba wakubwa
Ulimaliza la saba?
 
Hata wewe nakukaribisha join the chain usisubiri 2025, Sasa tuko awamu ya mguu Kwa mguu ya join the chain. Hautajilaumu Kwa uamuzi huo.
Mi nasubiri itakapofika awamu ya kitanda kwa kitanda ndo nitajoin the chain
 
Sababu tu ya huyo Mama natamani CCM ipasuke hata leo.
Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama.

Mfano ni huu uchaguzi wa jumuia za wazazi. Watu wamezila.

Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.
 
Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama.

Mfano ni huu uchaguzi wa jumuia za wazazi. Watu wamezila.

Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.
Mawazo ya fisi anayesubiri mkono wa binadamu kuanguka chini.
CCM ipo na itakuwepo.
 
CCM haitokaa ianguke kwa kuwa eti kuna watu wanahama. Incidences za Mrema Lyatonga na EL ni mifano tosha

CCM itaanguka siku tu NEC ikiwa na akili, backed up na JWTZ pamoja na TISS. Labda baada ya miaka 45
 
Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama.

Mfano ni huu uchaguzi wa jumuia za wazazi. Watu wamezila.

Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.
Masalia wa mwendazake mna viroja sana. Nyie msishiriki halafu muone kama viongozi hawatachaguliwa
 
Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama.

Mfano ni huu uchaguzi wa jumuia za wazazi. Watu wamezila.

Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.
Mzee kwema
 
Back
Top Bottom