Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Trust..tuliowaamini sana ndio waliotuumiza sanaWakuu,
Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia.
Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
Wakuu,
Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia.
Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
Noma sanaKutokuwaamini wanasiasa na kuwaamini waharakati.
Ushauri mzuri sana huu MkuuMtu akikuomba chakula mpatie kama unacho, njaa ni kitu kibaya sana, heshimu fedha hata kama ni ndogo kiasi gani,. Mtu akikuomba msaada kama unaweza kumsaidia msaidie, USIMJUDGE, kama anadanganya hiyo ni juu yake.
Mfanye Mungu wako kuwa wa kwanza kwenye kila utendalo, INALIPA.
Watu wengi wako karibu na wewe kwa sababu kuna namna wanafaidishwa na vitu fulani kutoka kwako, vikiondoka HUTOWAONA, jipange kisaikolojia na wala ISIKUUMIZE.
Familia ni kila kitu kwenye maisha, Asante 2023.
Kongole kwa kufanikisha mengi MkuuHuu mwaka umenifanya niamini kila kitu kinawezekana... nimefanya mambo makubwa ambayo kwa umri wangu sikudhani kama naweza kufanya....Mafanikio ya kila mtu yapo mikononi mwake kwakweli, ni suala la kumwomba Mungu na kuamua kufanya
Ulipigwa na kitu kizito Mkuu?Usikopeshe hela.
Ukiwa na hela kwisha habari yakoπKukaa miezi sita bila nyeto au kugegeda kunawezekana ila uwe umefulia
Hongera kwa kufikia malengo Mkuu, endelea kushikilia imani yakoπNimejifunza na nimesadiki ya kuwa Mungu ni mwema wakati wote, na Ukimuomba hutenda kwa wakati wake
Ni ajabu ila kweli ya kuwa asilimia karibia zote ya nilivyomwomba wakati nauanza mwaka kanitimizia nami nazidi kustaajabu juu ya miujiza na baraka zake
Hivyo sifa, utukufu, shukrani vimrejee yeye daima kwa kufanya njia pasipo njia. Amen
Asante sana πππKongole kwa kufanikisha mengi Mkuu