Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

1.Ukitaka kufanikiwa katika jambo lolote jitihada ni jambo la muhimu...
2.Mungu ni mwema jana,Leo na hata kesho tumtumaini katika kila jambo
3.Ukijenga dhana ya kufanya mambo kwa budget unatoboa
4.Tumia akili katika swala la mahusiano na siyo hisia
 
Mimi nimejifunza uvumilivu, kukabiliana na failures, dhihaka na kunyanyuka tena na kuanza upya.

Nimeamin katika kufanya kitu kidogo katika ubora mkubwa pale napokosa mafasi ya kufanya vitu vikubwa.

Nimeimarika katika kupenda kwa Akili na kujali familia kuliko kingine chochote.

“Siasa na Dini ni Biashara za watu, Tutafute hela tu"
 
Back
Top Bottom