Mwaka huu nilipangiwa kifo, sikufa, akafa mshikaji wangu.

Mbinguni nikafanye nini? Hebu acha hizo stori soma vizuri Biblia yako.

Hicho ulicholeta maana yake hujajua tofauti ya mbinguni na ufalme wa Mungu.

Ni kama uwe balozi wa Tanzania nchini Kenya. Ukiwa Kenya utaishi kama mwakilishi wa serikali ya Tanzania na unazingatia maslahi ya Tanzania ukiwa Kenya. Siku muda wako ukiisha wanakuita urudi nyumbani Tanzania.

Ndivyo alivyo mtu ambaye Yesu ni mwokozi na Bwana wake, anabeba ufalme wa Mungu ndani yake akiwa bado duniani, siku akiondoka anarudi nyumbani kwake ambako tunaita mbinguni.
 
Naona kafara lako linamgomea nabii,kiufupi umegoma kutolewa kafara na huyo nabii,yawezekana siku moja ukaingia kwenye laini
Kaa mbali na huyo dada na nabii wake
 
Hicho ulicholeta maana yake hujajua tofauti ya mbinguni na ufalme wa Mungu.

Ni kama uwe balozi wa Tanzania nchini Kenya. Ukiwa Kenya utaishi kama mwakilishi wa serikali ya Tanzania na unazingatia maslahi ya Tanzania ukiwa Kenya. Siku muda wako ukiisha wanakuita urudi nyumbani Tanzania.

Ndivyo alivyo mtu ambaye Yesu ni mwokozi na Bwana wake, anabeba ufalme wa Mungu ndani yake akiwa bado duniani, siku akiondoka anarudi nyumbani kwake ambako tunaita mbinguni.
Acha politics. Neno la Mungu sio siasa
 
Back
Top Bottom