Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Watanzania wengi hawakujua kwa nini waliomchukia hayati Magufuli walikuwa wakimkebehi kupitia mitandao ya hasa Twita.
Baadhi yao wakaanza kupost picha za magari ya kijeshi yakifanya mazoezi ya parade ya kuaga mwili wa mkuu wa nchi.
Wengine wakapost Brassband ya jeshi ikifanya mazoezi ya nyimbo za maombolezo.
Hii ikaanza kutia watu hofu kuwa kuna watu wa ndani na karibu na hayati wanavujisha siri.
Lakini wananchi walionekana wajinga na hawakupata ukweli wowote mpaka tara 17/3/21.