Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,636
- 3,142
Mwache atakojoe kwenye kopoKakojoe ukalale, usiku saa hizi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache atakojoe kwenye kopoKakojoe ukalale, usiku saa hizi....
You are sorted....Umefurahi?
Jamaa kamaliza kukujolea?You are sorted....
Good.Mwache atakojoe kwenye kopo
Wakihamia mjini wanakuwa mabinti kabisa hawa....Mwache atakojoe kwenye kopo
Umejiona umepost cha maana?Yaani usiku huu wote umeshindwa kulala unamuwaza basha wako, na hela zote alizokuwa anaiba alikuwa anakujengea chato....
Kwahiyo unataka kubishana na Mungu?Sio kwa namna hii
Hata kama, lakini kuna vifo vingine vinatia mashaka.Kwahiyo unataka kubishana na Mungu?
Kwa nini wamebadili?Heading imebadilishwa na moderators hivyo haileti maana kusudiwa
Hujui kinachoendelea wewe. Mambo yameharibika sana.
yameharibika kwakoHujui kinachoendelea wewe. Mambo yameharibika sana.
Nchi bila kaudikiteta dikiteta kidogo ni ngumu sana kusimama kwenye Reli !! Watu wanataka kujitajirisha kwa njia yeyote !!Wakati wa JK mambo yaliharibika sana.
JPM akaharibu zaidi kwa michuki yake.
Samia ndio kabisaa ni JK maradufu
Watanzania wengi hawakujua kwa nini waliomchukia hayati Magufuli walikuwa wakimkebehi kupitia mitandao ya hasa Twita.
Baadhi yao wakaanza kupost picha za magari ya kijeshi yakifanya mazoezi ya parade ya kuaga mwili wa mkuu wa nchi...
Mkuu alistahili kuchukiwa maana si kwa ubabe sipati picha yule jamaa angeendelea hadi hivi hali ingekuwa maaana daaaah
Unaharibu wewe🤔,au waliompenda mliyempigia debe, Huku mkisahau kama wapo wapenda haki, amani na upendo.Hujui kinachoendelea wewe. Mambo yameharibika sana.
AhaaaUzi wako kesho utachangiwa na wapenda haki amani upendo na usawa