Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Nchi imetulia maana kila siku ilikuwa ni kufokewa tu.Mkuu alistahili kuchukiwa maana si kwa ubabe sipati picha yule jamaa angeendelea hadi hivi hali ingekuwa maaana daaaah
Wasiopenda mafisadi.Uzi wako kesho utachangiwa na wapenda haki amani upendo na usawa
Kwakweli, yule mzee alikuwa na gubu mno. Yani kumepoa Kama hakuna vita y Urusi na UkraineNchi imetulia maana kila siku ilikuwa ni kufokewa tu.
Hujui kinachoendelea wewe. Mambo yameharibika sana.Nchi imetulia maana kila siku ilikuwa ni kufokewa tu.
Wanyonge wanaonewa sana.Kwakweli, yule mzee alikuwa na gubu mno. Yani kumepoa Kama hakuna vita y Urusi na Ukraine
Mungu anaipenda sana TANGANYIKAWatanzania wengi hawakujua kwa nini waliomchukia hayati Magufuli walikuwa wakimkebehi kupitia mitandao ya hasa Twita...
Sasa hiv upoje kwanMkuu alistahili kuchukiwa maana si kwa ubabe sipati picha yule jamaa angeendelea hadi hivi hali ingekuwa maaana daaaah
Sio kwa namna hiiMungu anaipenda sana TANGANYIKA
Hakuna alichokipata kipyaSasa hiv upoje kwan
Kakojoe ukalale, usiku saa hizi....Watanzania wengi hawakujua kwa nini waliomchukia hayati Magufuli walikuwa wakimkebehi kupitia mitandao ya hasa Twita...
We unakojolewa na nani?Kakojoe ukalale, usiku saa hizi....
Hadi kusikia kuwa kuna mtu ananyongewa hiyo ni kutokana na fulsa ya kupata Habari usichokijua ni kwamba kuna watu wengi mwendazake kawanyongea ila hapakuwa na pakusemea wala kuandika hiyo habari ukweli uko hivyo mkuuuu......Wanyonge wanaonewa sana.
Sijajua umemaanisha nipoje kiaje....?Sasa hiv upoje kwan
Umefurahi?Expected..
Basha wako mfu kajengewa kijumba siku hizi, saa akipewa mapumziko ya kipondo kuzimu, mpelekee atakukuta unamsumbiri umpe tako kwa tako...
Wakati wa JK mambo yaliharibika sana.Hujui kinachoendelea wewe. Mambo yameharibika sana.
Hii kauli ya unyonge ni kauli ya hovyo sana.Wanyonge wanaonewa sana.