Mwaka jana tarehe kama hizi, wanaCCM waliokuwa na chuki na hayati JPM walikuwa wakionyesha kebehi zao huko Twita na kuwaona Watanzania wajinga

Yupo ofisini anachapa kazi,mlitaka atembee masokoni ili dadeq kumbe kang'ata ulimi
 
Aisee siku zinakimbia, mara eti mwaka umefika dikteta mtoa roho za watu hatunaye, siamini

Bila shaka mwakani tarehe kama hizi dikteta wa Urusi naye atakuwa kaondoshwa duniani
 
Hadi kusikia kuwa kuna mtu ananyongewa hiyo ni kutokana na fulsa ya kupata Habari usichokijua ni kwamba kuna watu wengi mwendazake kawanyongea ila hapakuwa na pakusemea wala kuandika hiyo habari ukweli uko hivyo mkuuuu......
Kama askofu Mwingira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…