Mwaka Jana Yanga walipigwa mechi ya 1 na bado walifika fainali

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
1. Bado nafasi ipo kwa Yanga kama tunakumbuka msimu jana kwenye shirikisho Yanga walipoteza ugenini mechi ya kwanza nawakafika adi fainali hivyo bado muda upo.

Tuna enjoy kwatimu kutoka Tanzania kwasasa ikienda ugenini hawaendi kuwa underdog wanafunguka na wanamiliki mpira.

Ila waarabu [emoji3063][emoji3063] acha tu waendelee kubondwa na wayahudi

NB .... Tukutane final

IMG-20231124-WA0002.jpg
 
Kila nikikumbuka makelele ya Diara ndio ukuta wenyewe wa Yericko naangua kilio!

Ndio tumeshafungwa tena, tusonge mbele.

Ila, kipindi cha kupumzika diet ndio hiki. Hizi ratiba za mechi ni diet tosha, nikifikiria Jumamosi tunakutana na Ahly napungua bila diet!
 
Tatizo ni mechi za mataifa ziliharibu maandalizi
 
1. Bado nafasi ipo kwa Yanga kama tunakumbuka msimu jana kwenye shirikisho Yanga walipoteza ugenini mechi ya kwanza nawakafika adi fainali hivyo bado muda upo.

Tuna enjoy kwatimu kutoka Tanzania kwasasa ikienda ugenini hawaendi kuwa underdog wanafunguka na wanamiliki mpira.

Ila waarabu [emoji3063][emoji3063] acha tu waendelee kubondwa na wayahudi

NB .... Tukutane finalView attachment 2824544
Na huu ni mwaka jana
 
Kila nikikumbuka makelele ya Diara ndio ukuta wenyewe wa Yericko naangua kilio!

Ndio tumeshafungwa tena, tusonge mbele.

Ila, kipindi cha kupumzika diet ndio hiki. Hizi ratiba za mechi ni diet tosha, nikifikiria Jumamosi tunakutana na Ahly napungua bila diet!
[emoji1787][emoji1787] nifah bhna eti diet
 
Ni mashindano 2 tofauti kabsa huku ukizubaa unatoka patu si Sishangai viongozi wenu kusema malengo ya mwaka huu ni kuishia makundi
Kila mtu ashinde kwake
 
Mnajidanganya sana mnafikiri huku ni looser cup, wiki ijayo taabu Iko palepale Tena kubwa sana, huku ni kiumeni mwachieni simba nyie mbaki kikeni, kudadeki.
Ngoja tuone
 
Bado nafasi ipo kwa Yanga kama tunakumbuka msimu jana kwenye shirikisho Yanga walipoteza ugenini mechi ya kwanza nawakafika adi fainali hivyo bado muda upo
Hii sio 2012 ndugu mchambuzi, tupo 2023, hamkupata hata cha kufutia machozi, mlitoka ulimi nje halafu unafananisha ya mwaka jana na leo?

Nafasi mliyonayo kwa sasa ni kubandika mabango ya mkono wa nyani.

Football inawenyewe ndugu nyie endeleeni na biashara ya mabango ila ball la kimataifa waachie wana lunyasi.
 
Back
Top Bottom