Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Kadi nyekundu 2 na penati 2, bure kabisa wewe Bebwabebwa (Mbeleko) SC fan [emoji2]Hii sio 2012 ndugu mchambuzi, tupo 2023, hamkupata hata cha kufutia machozi, mlitoka ulimi nje halafu unafananisha ya mwaka jana na leo?
Nafasi mliyonayo kwa sasa ni kubandika mabango ya mkono wa nyani.
Football inawenyewe ndugu nyie endeleeni na biashara ya mabango ila ball la kimataifa waachie wana lunyasi.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app