Tatizo ni mechi za mataifa ziliharibu maandaliziKila nikikumbuka makelele ya Diara ndio ukuta wenyewe wa Yericko naangua kilio!
Ndio tumeshafungwa tena, tusonge mbele.
Ila, kipindi cha kupumzika diet ndio hiki. Hizi ratiba za mechi ni diet tosha, nikifikiria Jumamosi tunakutana na Ahly napungua bila diet!
Na huu ni mwaka jana1. Bado nafasi ipo kwa Yanga kama tunakumbuka msimu jana kwenye shirikisho Yanga walipoteza ugenini mechi ya kwanza nawakafika adi fainali hivyo bado muda upo.
Tuna enjoy kwatimu kutoka Tanzania kwasasa ikienda ugenini hawaendi kuwa underdog wanafunguka na wanamiliki mpira.
Ila waarabu [emoji3063][emoji3063] acha tu waendelee kubondwa na wayahudi
NB .... Tukutane finalView attachment 2824544
[emoji1787][emoji1787] nifah bhna eti dietKila nikikumbuka makelele ya Diara ndio ukuta wenyewe wa Yericko naangua kilio!
Ndio tumeshafungwa tena, tusonge mbele.
Ila, kipindi cha kupumzika diet ndio hiki. Hizi ratiba za mechi ni diet tosha, nikifikiria Jumamosi tunakutana na Ahly napungua bila diet!
Hii sio 2012 ndugu mchambuzi, tupo 2023, hamkupata hata cha kufutia machozi, mlitoka ulimi nje halafu unafananisha ya mwaka jana na leo?Bado nafasi ipo kwa Yanga kama tunakumbuka msimu jana kwenye shirikisho Yanga walipoteza ugenini mechi ya kwanza nawakafika adi fainali hivyo bado muda upo
Labda makundi ya siafuNi mashindano 2 tofauti kabsa huku ukizubaa unatoka patu si Sishangai viongozi wenu kusema malengo ya mwaka huu ni kuishia makundi