Mwaka Jana Yanga walipigwa mechi ya 1 na bado walifika fainali

Unafahamu unahitaji point ngapi kuvuka makundi na unatakiwa uzichukue kwa nani?

Alt:

Kuzichukua P6, p3 au p4 kwa Al hly na yule aliyekufunga jana kwenye marudio uchukue p3 ili uwe na p9, P6, P7 halafu hizo p6 za kibonde unayemdhania kuwa ni mwepesi ziwe za kumalizia. Jumla utakuwa na either p15, p12, p13.

Alt nje ya hii ni kupoteza p3, p6, p4, p5 kwa Al hly halafu umtegemee unayedhani kuwa ni kibonde kuwa wewe uchukue p6 kwake halafu yeye awabanie wengine kuchukua p6 kisha uchukue p3 kwa kwa aliyekufunga jana.

Au kama vipi tujikite kwenye boli litembee tuachane na point.
 
Pole shoga
 
Ukumbuke pia mala ya mwisho yanga kishiriki haya mashinda alikua wa mwisho kwenye kundi lake huenda awamuhi hii yanga ikashika mkua pia
Ni ngumu sana... one way to final
 
Wale jamaa Wana Tisha ... yawezekana ingekuwa Simba ...ingekula nyingi
 
Karata ni ngumu
 
Reactions: Tsh
Karata ni ngumu
Si kidogo ila mpira unadunda lolote linawezekana. Kumbuka aliyekufunga akifungwa tu na Al hly mechi zote halaf ww ukamfunga Al hly mechi moja tayari mzani umerudi sawa. Hapa assumption ni kuwa kuna mmoja ni kibonde wa wote kuwa mjichukulie point tu.
 
CCM stars iliharibu maandalizi.
Kikubwa timu ili relax wacheze mpira.

Lengo kuu ni NBC title

Huku tunatafuta heshima, na heshima huja taratibu, wachezaji wasipewe pressure lkn wajiandae vzr ili tupate matokeo tusonge robo final
 
Si kidogo ila mpira unadunda lolote linawezekana. Kumbuka aliyekufunga akifungwa tu na Al hly mechi zote halaf ww ukamfunga Al hly mechi moja tayari mzani umerudi sawa. Hapa assumption ni kuwa kuna mmoja ni kibonde wa wote kuwa mjichukulie point tu.
There's a room for improvement
 
Mkyundru wako mpana kama ndoo u
ya chooni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…