Mwaka Jana Yanga walipigwa mechi ya 1 na bado walifika fainali

Kadi nyekundu 2 na penati 2, bure kabisa wewe Bebwabebwa (Mbeleko) SC fan [emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 

Sasa mkuu ni game gani nyie mtashinda?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tarehe 2 december al ahly wapo hapa tz[emoji23][emoji23][emoji23] tabuleleee ipo pale pale mungu awasaisie, ila ni pagumu nyie kupita hamna mechi hata moja yenye afazali kwenu kwenye kundi lenu!!!!
 
Ukumbuke pia mala ya mwisho yanga kishiriki haya mashinda alikua wa mwisho kwenye kundi lake huenda awamuhi hii yanga ikashika mkua pia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jana kungekuwa na dakika10 mbele wangekufa 6 hawa vyura
 
Si kidogo ila mpira unadunda lolote linawezekana. Kumbuka aliyekufunga akifungwa tu na Al hly mechi zote halaf ww ukamfunga Al hly mechi moja tayari mzani umerudi sawa. Hapa assumption ni kuwa kuna mmoja ni kibonde wa wote kuwa mjichukulie point tu.
Medeama naye Hesabu zake ni Yanga
 
Lile ni kombe la shirikisho, huku kwa Wanaume stori tofauti
Ninyi viumbe mna midomo sana kama waimba taarabu.

Hamkula khamsa khamsa na goli 4 kwenye makundi hayo hayo kisha mliingia robo fainali za CAFCL?

Muwe na kumbukumbu Mbumbumbu SC fans hata kama bado mna maumivu ya goli 5-1 [emoji38]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo wewe unazungumzia kombe la losers!!! Hili ni kombe dume la caf champions league!!
 
Wale jamaa Wana Tisha ... yawezekana ingekuwa Simba ...ingekula nyingi
Pole!! Ndio maana mlikuwa nje ya hatua hii ya makundi kwenye kombe la mabingwa kwa miaka 25!! Miaka 25 ya maandalizi haijawatosha!! Itabidi muwe nje tena kwa miaka 50!! Kwa habari ya Simba, hiyo achana nayo, hatua hii kwao ni kama pete na kidole na kuvuka ni kama sheria!
 
Wewe achana na mambo ya mwaka jana maana mlikutana na timu zenye vizunguzungu hadi CAF ikabidi waboreshe kanuni kwa timu zinazopaswa kushiriki kombe la CC....

Prinsipo ni moja tu huku ni CL jifunzeni kuwaheshimu wapinzani wenu, posesheni futbol ni dizasta tena kirusi mkubwa hata wale Sundowns wanajua na muda utaongea tu....
Hutaki endelea kukaza hilo fuvu sijui mwaka jana mara msimu ulopita hahahahaaaa....
 
Muhimu gamondi ajue wapi aliteleza Kama mechi ya ihefu abadilishe mfumo kulingana na aina ya mpinzani.
Dirisha dogo waongeze Kiungo mkabaji na washambuliaji Wawili kuchukua nafasi ya ngushi na Konkoni .
 
Si kidogo ila mpira unadunda lolote linawezekana. Kumbuka aliyekufunga akifungwa tu na Al hly mechi zote halaf ww ukamfunga Al hly mechi moja tayari mzani umerudi sawa. Hapa assumption ni kuwa kuna mmoja ni kibonde wa wote kuwa mjichukulie point tu.
Daaah Al ahly mlima mrefu Mzee[emoji23][emoji23] kama tu kale katimu kametuchezea vile
 
Reactions: Tsh
CCM stars iliharibu maandalizi.
Kikubwa timu ili relax wacheze mpira.

Lengo kuu ni NBC title

Huku tunatafuta heshima, na heshima huja taratibu, wachezaji wasipewe pressure lkn wajiandae vzr ili tupate matokeo tusonge robo final
Hakika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…