Mwaka Jana Yanga walipigwa mechi ya 1 na bado walifika fainali

Kabisa mkuu...Al ahly ni kipengele
 
Kwahiyo mko na MARUMO pia kundi moja eti??? 😂😂😂

Possession: 70%
Goal : 0

Tuliupiga mwingi sana

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huku sio shirikisho kwa kina zalan fc na waganga njaa wale
 
Hiyo ilikuwa cafcc, kwa cafcl ni habari nyingine. Mtu amepigwa goli tatu kavu pamoja na kumiliki mpira 69%. Chezea cafcl weweeee
 
Kwahiyo mko na MARUMO pia kundi moja eti??? [emoji23][emoji23][emoji23]

Possession: 70%
Goal : 0

Tuliupiga mwingi sana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatari sana [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…