Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu...Al ahly ni kipengeleSasa mkuu ni game gani nyie mtashinda?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tarehe 2 december al ahly wapo hapa tz[emoji23][emoji23][emoji23] tabuleleee ipo pale pale mungu awasaisie, ila ni pagumu nyie kupita hamna mechi hata moja yenye afazali kwenu kwenye kundi lenu!!!!
Ukweli usemwe fainali hamfiki. Tusirembe sanaTukutane fainali CAF champions league
Jibu swali,ulikula Tano!?..nani alikubugiza Tano!?..lini!?Tano we hujala?
Jibu swali,ulikula Tano!?..nani alikubugiza Tano!?..lini!?
Huku sio shirikisho kwa kina zalan fc na waganga njaa wale1. Bado nafasi ipo kwa Yanga kama tunakumbuka msimu jana kwenye shirikisho Yanga walipoteza ugenini mechi ya kwanza nawakafika adi fainali hivyo bado muda upo.
Tuna enjoy kwatimu kutoka Tanzania kwasasa ikienda ugenini hawaendi kuwa underdog wanafunguka na wanamiliki mpira.
Ila waarabu [emoji3063][emoji3063] acha tu waendelee kubondwa na wayahudi
NB .... Tukutane finalView attachment 2824544
Fainali ya matopeni pale kifusiniTukutane fainali CAF champions league
Hiyo ilikuwa cafcc, kwa cafcl ni habari nyingine. Mtu amepigwa goli tatu kavu pamoja na kumiliki mpira 69%. Chezea cafcl weweeee1. Bado nafasi ipo kwa Yanga kama tunakumbuka msimu jana kwenye shirikisho Yanga walipoteza ugenini mechi ya kwanza nawakafika adi fainali hivyo bado muda upo.
Tuna enjoy kwatimu kutoka Tanzania kwasasa ikienda ugenini hawaendi kuwa underdog wanafunguka na wanamiliki mpira.
Ila waarabu [emoji3063][emoji3063] acha tu waendelee kubondwa na wayahudi
NB .... Tukutane finalView attachment 2824544
Hata muda ukifika hamtoboi.Muda bado
Super cup huwa haipewi uzito kama champions league! Hakuna timu huwa inapanga malengo ya kuchukua super cup! It comes only "by the way".Lkn bingwa wa loser ndo kachukua super cup