Mwaka Mmoja Na Samia: Uhuru wa vyombo vya Habari

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
"Katika siku 365 za Rais Samia Suluhu, kitu cha kwanza tulichokifanya, ni kuhakikisha vyombo vya habari vinafanya kazi kwa Uhuru bila bugudha na kuhakikisha vyombo vya habari vinakua," - Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa

#MamaYukoKazini
#MwakaMmojaNaSamia

20220319_095615.jpg
 
View attachment 2156313
Kiukweli mama anatisha ila bahati mbaya Kuna watu wanamchukia bila sababu
 
Nani kama mama?

2025 tumpitishe bila kumpinga.
 
Msigwa kabla ya kuwa msemaji mkuu wa serikali alikuwa nani?!
"Katika siku 365 za Rais Samia Suluhu, kitu cha kwanza tulichokifanya, ni kuhakikisha vyombo vya habari vinafanya kazi kwa Uhuru bila bugudha na kuhakikisha vyombo vya habari vinakua," - Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa

#MamaYukoKazini
#MwakaMmojaNaSamia

View attachment 2156313
 
Kuna faida gani ya kuongea ongea tu wakati jambo la msingi kama uchumi linasuasua.

People need money and not stories.
 
Wakati mlikuwa hamuongei ongei mlikuwa nazo hizo pesa?
 
"Katika siku 365 za Rais Samia Suluhu, kitu cha kwanza tulichokifanya, ni kuhakikisha vyombo vya habari vinafanya kazi kwa Uhuru bila bugudha na kuhakikisha vyombo vya habari vinakua," - Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa

#MamaYukoKazini
#MwakaMmojaNaSamia

View attachment 2156313
Hivi hii post ya usemaji wa serikali si Bora waifute mna haina kazi kabisa. Huyu jamaa Kuna wakati hanaga kazi kabisa kazi zote zinafanya na zuhura
 
Kuna faida gani ya kuongea ongea tu wakati jambo la msingi kama uchumi linasuasua.

People need money and not stories.
When people make stories they also make money. Don't you know that people sell their words through news papers, radio, television, bronchures n.k?
 
Back
Top Bottom