Kiukweli mama anatisha ila bahati mbaya Kuna watu wanamchukia bila sababu"Katika siku 365 za Rais Samia Suluhu, kitu cha kwanza tulichokifanya, ni kuhakikisha vyombo vya habari vinafanya kazi kwa Uhuru bila bugudha na kuhakikisha vyombo vya habari vinakua," - Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa
#MamaYukoKazini
#MwakaMmojaNaSamia
View attachment 2156313
"Katika siku 365 za Rais Samia Suluhu, kitu cha kwanza tulichokifanya, ni kuhakikisha vyombo vya habari vinafanya kazi kwa Uhuru bila bugudha na kuhakikisha vyombo vya habari vinakua," - Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa
#MamaYukoKazini
#MwakaMmojaNaSamia
View attachment 2156313
Wakati mlikuwa hamuongei ongei mlikuwa nazo hizo pesa?Kuna faida gani ya kuongea ongea tu wakati jambo la msingi kama uchumi linasuasua.
People need money and not stories.
Sasahivi hali ni mbaya kushinda jana asikwambie mtu.Wakati mlikuwa hamuongei ongei mlikuwa nazo hizo pesa?
Hivi hii post ya usemaji wa serikali si Bora waifute mna haina kazi kabisa. Huyu jamaa Kuna wakati hanaga kazi kabisa kazi zote zinafanya na zuhura"Katika siku 365 za Rais Samia Suluhu, kitu cha kwanza tulichokifanya, ni kuhakikisha vyombo vya habari vinafanya kazi kwa Uhuru bila bugudha na kuhakikisha vyombo vya habari vinakua," - Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa
#MamaYukoKazini
#MwakaMmojaNaSamia
View attachment 2156313
When people make stories they also make money. Don't you know that people sell their words through news papers, radio, television, bronchures n.k?Kuna faida gani ya kuongea ongea tu wakati jambo la msingi kama uchumi linasuasua.
People need money and not stories.
Vyuma vimekaza?Sasahivi hali ni mbaya kushinda jana asikwambie mtu.
Hatari na nusu.Vyuma vimekaza?