Mwaka mmoja umekatika nikisaka demu bila mafanikio

Mwaka mmoja umekatika nikisaka demu bila mafanikio

Jukwaani hapa panapaswa kuheshimika. Hivyo posts zake ziwe na hadhi na siyo utumbo unaouwasilisha hapa
 
"Nina kagari" ww unadharau kwa hiyo km unagari.gari si kila kitu ila amani yamoyo watu wanamigari yao hapa lakn hawana aman.

~Tubu kwa Mungu na usijikweze nyenyekea kiti cha rehema,neema ya Mungu itakufunika utapata.
 
Kaoge baharini ukiwa uchi wa mnyama mkuu! Mimi mbona majalala nakwea madaladala tu ila papuchi zinanizidia?
 
Ulileta uzi kua wanawake wa dar hawajaribiwi ,wakitongozwa tuu wanajaa,...leo unakuja lia hupat dem...ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu mkuu
Tatzo si kwamba ye'muongo.Nimegundua humu jf kuna wengine ilmrad wameanzisha thread tu basi.
Haijalishi jana alisema nin na leo unasema nin
 
Aman iwe nanyi watu wa mungu


Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu

Toka niachane na demu wangu mwaka jana mwez kama huu nimekuwa nikisaka mtoto mwingine wa kuwa naye bila mafanikio

Yaan kila siku natafuta demu lakin wap, kila ninaye mtongoza ananitosa na kunikataa

Yaan had namkumbuka yule demu wangu lakin kila nikipiga cm haipatikan

Nakumbuka mimi ndo nilikuwa chanzo cha kuachana baada ya kuanza kumfanyia mzalau na aliponambia nilimwambia kama vp tuachane wasichana mbona wengi sana, lakin sasa natafuta bila mafanikio


Mimi nahis huyu demu aliniloga na kunitupia mikos, kwanini sipat demu hata mwenye sura mbaya mbaya hata kama akiwa choka mbaya na kapinda mgongo

Nifanyeje nipate demu wazee

Mbona nina maisha mazur sana ninakagal ingawa ni kadogo lakin kananisaidia kwa kupigia misele

Ushaul wenu wakuu


LONDON BABY
Mkuu endelea kuvumilia,wakati mwingine msimu unakuwa mbaya

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom