Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatzo si kwamba ye'muongo.Nimegundua humu jf kuna wengine ilmrad wameanzisha thread tu basi.Ulileta uzi kua wanawake wa dar hawajaribiwi ,wakitongozwa tuu wanajaa,...leo unakuja lia hupat dem...ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu mkuu
Mkuu endelea kuvumilia,wakati mwingine msimu unakuwa mbayaAman iwe nanyi watu wa mungu
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Toka niachane na demu wangu mwaka jana mwez kama huu nimekuwa nikisaka mtoto mwingine wa kuwa naye bila mafanikio
Yaan kila siku natafuta demu lakin wap, kila ninaye mtongoza ananitosa na kunikataa
Yaan had namkumbuka yule demu wangu lakin kila nikipiga cm haipatikan
Nakumbuka mimi ndo nilikuwa chanzo cha kuachana baada ya kuanza kumfanyia mzalau na aliponambia nilimwambia kama vp tuachane wasichana mbona wengi sana, lakin sasa natafuta bila mafanikio
Mimi nahis huyu demu aliniloga na kunitupia mikos, kwanini sipat demu hata mwenye sura mbaya mbaya hata kama akiwa choka mbaya na kapinda mgongo
Nifanyeje nipate demu wazee
Mbona nina maisha mazur sana ninakagal ingawa ni kadogo lakin kananisaidia kwa kupigia misele
Ushaul wenu wakuu
LONDON BABY
Beira Baby Boy: huyo jamani atakuwa alilia sana kwa uchungu kwa yale uliomfanyia hivyo bado laana yake inakuzunguka[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Huu uz nan kaufufua nilikuwaga shausahau
Ulikompatia huyo uliyemtema nenda huko huko!Wako wap mbona mimi siwaon