Mwaka mmoja wa mzee Kinana madarakani, vijana wanagawana rushwa hadharani

BestOfMyKind

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
1,350
Reaction score
1,464
Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM?

Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano mmoja.

Kinana ni kiongozi wa CCM inayopenda rushwa.
 
Watanzania walipewa masininia ya ubwabwa na maharagwe kama takrima, pima mwenyewe thamani ya utu wa mtu hapo.
 
Hii inatoa picha kwa chaguzi zijazo kuwa nguvu yako ya pesa + rushwa ya ngono ndio itakayoamua uwe mbunge au diwani.
 
Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM?

Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano mmoja.

Kinana ni kiongozi wa CCM inayopenda rushwa.
Kipindi kile hata mwenyekiti wao alikuwa ni ntu wa deal.
 
Kinana na deal. Tembo sijui wanaendeleaje huko.

Kinana anataka pesa ziwe zinatembeatembea buana..badae wataita takrima.
 
Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM?

Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano mmoja.

Kinana ni kiongozi wa CCM inayopenda rushwa.
Kinana ni kundi la majangili wa hii nchi,bila Magufuli tusingekuwa na tembo nchini kwa sasa
 
Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM?

Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano mmoja.

Kinana ni kiongozi wa CCM inayopenda rushwa.
huyo anayoyaongea ni tofauti na matendo yake.kwa umri wake mm nilitegemea kwanza angekaa pembeni awaachie vijana wapambane na hali zao.
 
Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM?

Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano mmoja.

Kinana ni kiongozi wa CCM inayopenda rushwa.
Kinana na Rushwa ni sawa na Sukari na Chai!

Hapo CCM- Kinana!, hakuna uadilifu bali Ubadhirifu.

Hakuna Maadili bali Ma-Deal
 
Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM?

Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano mmoja.

Kinana ni kiongozi wa CCM inayopenda rushwa.
kwani anayehusika na issues kama hizo si katibu mkuu? Kinana ni makamo mwenyekiti.

Uhusiano gani wakati lile lilikuwa burungutu la kugawa supporters wa team lowassa?
 
Hiki ulichoandika kwa kitaalam kinaitwa afterthought.
 
Back
Top Bottom