BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
walioshika madaraka hawapo upande wa wananchiHii inatoa picha kwa chaguzi zijazo kuwa nguvu yako ya pesa + rushwa ya ngono ndio itakayoamua uwe mbunge au diwani.
Kipindi kile hata mwenyekiti wao alikuwa ni ntu wa deal.Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM?
Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano mmoja.
Kinana ni kiongozi wa CCM inayopenda rushwa.
Kinana ni kundi la majangili wa hii nchi,bila Magufuli tusingekuwa na tembo nchini kwa sasaMnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM?
Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano mmoja.
Kinana ni kiongozi wa CCM inayopenda rushwa.
huyo anayoyaongea ni tofauti na matendo yake.kwa umri wake mm nilitegemea kwanza angekaa pembeni awaachie vijana wapambane na hali zao.Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM?
Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano mmoja.
Kinana ni kiongozi wa CCM inayopenda rushwa.
Kinana na Rushwa ni sawa na Sukari na Chai!Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM?
Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano mmoja.
Kinana ni kiongozi wa CCM inayopenda rushwa.
kwani anayehusika na issues kama hizo si katibu mkuu? Kinana ni makamo mwenyekiti.Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM?