TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Kwenye hotel ya Golden Tulip mjini Zanzibar kuna hafla kubwa ya kusherekea mwaka mmoja wa nafasi ya urais wa Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi.
Hafla hii imejumuisha viongozi wakuu wa kitaifa, wastaafu na wengine wengi wakiwepo wananchi mbalimbali, baadhi na kwa uchache Rais mstaafu Jakaya Kikwete, makamu wa kwanza wa rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania dkt Bilal nk.
Barabarani ni mabango na matangazo ya kutosha ya live kuelezea uwepo wa tukio hilo.
Ingawa si jambo la kushangaza viongozi wa Zanzibar kufanya jambo kama sababu lilishawahi kufanywa huko nyuma ila kinachowashangaza baadhi ya watu ni ile kauli ya mh. Mwinyi kujipambanua kwa kubana matumizi.
Mabango na dhifa kubwa kama hiyo ni kwa muktadha upi ambao umeonyesha umuhimu kuandaliwa hata kama si pesa ya serikali?.
Pamoja na yote kuna kitu cha kujiuliza na ambacho Dr. Mwinyi amekiweka wazi kuwa, Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia yupo karibu sana naye hasa katika uongozi wake na mustakabali wa Zanzibar na wanawasiliana kila wakati kupeana updates.